Ndoa za mitala

Ndoa za mitala

a hope

Senior Member
Joined
Oct 23, 2022
Posts
163
Reaction score
342
Wakuu huwa najiuliza sana ivi ni kwani haya mashirika ya kutetea haki mwanamke na hizi NGO's ambazo hasa zinapigania haki za wanawake afrika na hasa za hapa kwetu Tanzania huwa hazisemi chochote linapokuja suala haki za mwanamke katika ndoa mitala?

Kwa sababu kama kuna jambo linalo 'udharirisha' utu wa mwanamke na kuthibitisha kabisa kuwa mwanamke ni chombo cha starehe basi ni polygamism.

Kwanini haya mashirika huwa hayasemi chochote? Au ni kwasababu wao wanawake ni wanufaika wa ndoa hizi?

Kingine,mwanamke kukubali na kuridhia kuolewa mke wa pili,mke wa tatu,mke nne mke wa tano mke wa sita..hii huwa ni nini?

Je ni tamaa? Ni njaa? ni umaskini ? Ni uhaba wa wanaume? Kwa wanaume pia huwa ni nini?

Nimefikiria sana huyu jamaa pamoja na pesa na umaarufu alio nao lakini ana mke mmoja tu Na ameridhika..sasa hii mitala Africa chanzo ni nini?

1673012956779.jpg
1673012943924.jpg
1673012966186.jpg
1673012966186.jpg
1673012966186.jpg
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Unless unataka tu kuwavuruga watu huyo uliyemuweka hapo imani yake inasema mke mmoja pandisha hapa picha ya mwarabu anayemiliki visima vya mafuta akiwa na mke mmoja kama huyo ndo tujadili.
 
Hayo mashirika unayoyategemea ndiyo yanataka jamii iache Mifumo ya dini zao na kutetea LGT sasa nafasi ya kutetea ndoa hata za mke mmoja wanatoa wapi. Kuhusu kuwa na mke mmoja au zaidi (4) huo ni utaratibu wa dini nyingine hivyo ukitaka panua akili kwa hoja waone wahusika wa kila Dini wakupe uthibitisho wa kike kinachowaongoza huko. Bila elimu kila Jambo linakuwa geni na la kipuuzi kwako.
 
Unless unataka tu kuwavuruga watu huyo uliyemuweka hapo imani yake inasema mke mmoja pandisha hapa picha ya mwarabu anayemiliki visima vya mafuta akiwa na mke mmoja kama huyo ndo tujadili.
Na hili sio kidini tu, hata baadhi ya mila zinaruhusu mwanaume kuoa zaidi ya mke mmoja.
 
Wakuu huwa najiuliza sana ivi ni kwani haya mashirika ya kutetea haki mwanamke na hizi NGO's ambazo hasa zinapigania haki za wanawake afrika na hasa za hapa kwetu Tanzania huwa hazisemi chochote linapokuja suala haki za mwanamke katika ndoa mitala?

Kwa sababu kama kuna jambo linalo 'udharirisha' utu wa mwanamke na kuthibitisha kabisa kuwa mwanamke ni chombo cha starehe basi ni polygamism.

Kwanini haya mashirika huwa hayasemi chochote? Au ni kwasababu wao wanawake ni wanufaika wa ndoa hizi?

Kingine,mwanamke kukubali na kuridhia kuolewa mke wa pili,mke wa tatu,mke nne mke wa tano mke wa sita..hii huwa ni nini?

Je ni tamaa? Ni njaa? ni umaskini ? Ni uhaba wa wanaume? Kwa wanaume pia huwa ni nini?

Nimefikiria sana huyu jamaa pamoja na pesa na umaarufu alio nao lakini ana mke mmoja tu Na ameridhika..sasa hii mitala Africa chanzo ni nini?

View attachment 2471147View attachment 2471148View attachment 2471143View attachment 2471145View attachment 2471146
Acha ushamba wewe weke picha yako na mkeo na watoto wako tukutathimini hayo unayo yasema
 
mimi sipingani na polyganism, nachota kujua ni kwanini NGO's ni kama zinaunga mkono hili,wakati kiasi flani polygamism ina udharirisha utu wa mwanamke
 
anaonekana kama chombo cha starehe,yupo kwaajili ya kumfurahisha mwanaume,
Sijui wewe unadefine vipi chombo cha starehe.

Ila ikiwa mwanaume atamuoa mwanamke kisha akamtimizia haki/mihataji yake yote kama mke, kisha akaoa na mwanamke mwingine naye akamtimizia haki/mahitaji yake yote kama mke.

Hapo mwanamke yupi anakuwa ametumika kama chombo cha starehe?
 
Mm ni muoaji

Well,Kwa hiyo reference yako aisee,Kama ni utajiri na matajiri, basi wengi wao hawana wake yaani hawajaoa…na waliooa wana divorce nying so dont fet inspired na hivyo…..

Kuoa mke zaidi ya mmoja ni kutokana na nature ya viumbe hai kabla sababu za kidini.

Kama umeoa na una kila access ya kufikiwa na wanawake wanaojielewa basi utaelewa hii nature.
 
Wakuu huwa najiuliza sana ivi ni kwani haya mashirika ya kutetea haki mwanamke na hizi NGO's ambazo hasa zinapigania haki za wanawake afrika na hasa za hapa kwetu Tanzania huwa hazisemi chochote linapokuja suala haki za mwanamke katika ndoa mitala?

Kwa sababu kama kuna jambo linalo 'udharirisha' utu wa mwanamke na kuthibitisha kabisa kuwa mwanamke ni chombo cha starehe basi ni polygamism.

Kwanini haya mashirika huwa hayasemi chochote? Au ni kwasababu wao wanawake ni wanufaika wa ndoa hizi?

Kingine,mwanamke kukubali na kuridhia kuolewa mke wa pili,mke wa tatu,mke nne mke wa tano mke wa sita..hii huwa ni nini?

Je ni tamaa? Ni njaa? ni umaskini ? Ni uhaba wa wanaume? Kwa wanaume pia huwa ni nini?

Nimefikiria sana huyu jamaa pamoja na pesa na umaarufu alio nao lakini ana mke mmoja tu Na ameridhika..sasa hii mitala Africa chanzo ni nini?

View attachment 2471147View attachment 2471148View attachment 2471143View attachment 2471145View attachment 2471146
Mbona hauzungumzii kuhusu wanawake wanajiuza mitaani na mitandaoni au huko ndo kunainua utu wenu?
 
Wakuu huwa najiuliza sana ivi ni kwani haya mashirika ya kutetea haki mwanamke na hizi NGO's ambazo hasa zinapigania haki za wanawake afrika na hasa za hapa kwetu Tanzania huwa hazisemi chochote linapokuja suala haki za mwanamke katika ndoa mitala?

Kwa sababu kama kuna jambo linalo 'udharirisha' utu wa mwanamke na kuthibitisha kabisa kuwa mwanamke ni chombo cha starehe basi ni polygamism.

Kwanini haya mashirika huwa hayasemi chochote? Au ni kwasababu wao wanawake ni wanufaika wa ndoa hizi?

Kingine,mwanamke kukubali na kuridhia kuolewa mke wa pili,mke wa tatu,mke nne mke wa tano mke wa sita..hii huwa ni nini?

Je ni tamaa? Ni njaa? ni umaskini ? Ni uhaba wa wanaume? Kwa wanaume pia huwa ni nini?

Nimefikiria sana huyu jamaa pamoja na pesa na umaarufu alio nao lakini ana mke mmoja tu Na ameridhika..sasa hii mitala Africa chanzo ni nini?

View attachment 2471147View attachment 2471148View attachment 2471143View attachment 2471145View attachment 2471146
Una uhakika hana michepuko?

Siku nyingine hakikisha una taarifa za kutosha kabla hujapost
 
Back
Top Bottom