ndoa za kikristo

ndoa za kikristo

Mimi nahisi uyo yesu hawamfati, izo sheria sijui wanatunga wapi
 
Bora hata hao wa mke mmoja kuliko hawa mafather wasiooa kabisa lkn wanatafuna masister mbaya sijui kwa nini wameweka masharti magumu
 
leo MMU imevamiwa na kirusi mbiza
 
Last edited by a moderator:
anaolewa mmmoja ila nje viburudisho vya kutosha

back to the topic

KWA NGUVU IPI YA KIZAZI CHA CHIPS KUKU NA NOVIDA UOWE WAKE WAWILI???

MMMOJA TU NI issue

hahaha lakini kweli/ hivi wale wanao oaga hadi wanne inakuaje/
 
Jua kuwa kuna agano jipya na la kare
 
ok,swali la pili ni zuri sana kama ilimpendeza mungu au la,kumbuka daudi alimuudhi mungu kwa kosa la kuchukua mke wa jemadari tu lakini bado daudi ukimtoa yule mwanamke alikuwa na wake wengine wengi,mbona hakuna adhabu yoyote ilimpata wala hakuambiwa na mungu awaache hao wote aliowaoa abaki na mmoja?

Jitahidi kujibu maswali yote halafu nitakusaidia.
 
Back
Top Bottom