Wakuu,
Watu wengi ufunga ndoa bar pasipo kujitambua,ukienda bar ukapata msichana changudoa au mhudumu, utaanza kufunga nae ndoa kama ifuatavyo!
Bia ya kwanza utakayo mnunulia inaitwa mshenga, bia ya pili utakayo mnunulia ni posa, bia ya tatu utakayo mnunulia ni mahari, na bia ya nne utakayo mnunulia ni send off yaani unajimilikisha binti huyo kifisadi.
Bia ya tano inaitwa honey hapa ndio utamchukua huyo sijui changudoa wako au mhudumu na kwenda nae chumba cha guest kumalizana.
ila ikifika saa kumi na moja asubuhi mnapeana talaka na kuachana kila moja akishika hamsini zake.
Je, wewe mwana JF umeshafunga ndoa za bar ngapi?