Haya sasa... The Boss keshanambia anani miss; hapo kama baba nanii angekuwa domo zege na maneno matamu matamu siyapati toka kwake si ndio hapo sasa unakuta mtu mzima naanza ku m-PM The Boss na miss you too, unaishi wapi? etc .. wakati The Boss hayo maneno wala hayajatoka rohoni ni mdomoni tu. Lol.
just kidding.. Teh Teh Teh..
umesema kweli kwamba haya ni mapito. kiukweli ndoa zaote lazima zipite hali hii, na pia tena inapokuwa ni miaka chini 7 lazima mtapita sana. kwani kipindi chote hiki bado mko mnasomana tabia na mambo mengine.
wataalam wa ndoa wanasema ndoa huanza kufurahisa sana baada ya miaka 10 ya kuish pamoja, hii inatoka na ukweli kwamba muda huo unatosha kumfanya mtu akajifunza kuvumila na hata kuzoea mapungufu ya mwenzie. siyo siri jamani miaka 2-3 soon baada ya ndoa huwa hata hamu ya kufanya tendo la ndoa iko juu kweli kama dozi unajikuta mtu huombi kila siku ama kila baada ya siku moja lazima mfanye. ikishafika sasa mmepata mtoto, nyumba ndo mnaanza kujega kama hamjajenga, mnataka kuongeza kipato cha familia maishayale ya kusweteetiana yanakuwa replaced na money and development seeeking habits.
to me ni jambo jema sana kfikiria swala la maendeleo na kuwaza maendeleo ila pia ni jukumu la mama ndani ya nyumbakuhakikisha kuwa anakabiliana na changamoto zinazotokana na hali hiyo. sitegemei mama uanze kulala mika bali ujifunze kusema na Mungu kumuombea mumeo afya njema, kumuombea shetani asimkwamishe, kuomba afanikiwe na hata kuombea amani, upendo na furaha ya familia.
ukiyafanya yote hayo pamaoja na kutoa sadaka kwaajili ya ndoa yako basi palipobakia ni pa Mungu kutenda. kipindi hiki ndicho mama unatakiwa uwe msafi, maazingira ya nyumba yawe masafi, uwe na matumiz mazuri ya fedha ujipende upendeze, watoto wako wapendeze. hata mabianti wako wa kaazi ndani wapendeze. ni kipindi ambacho mnapokaa kujadili ratiba ama mipango ya wiki basi unatakiwa uhakikishe unapata walau siku moja ya kutoka na mumeo na walau siku moja kwa mwez ya kutka na familia nzima. ndicho kipind ambacho mama unatakiwa utumie hekima zaid na busara kama ulikuwa mpenz kila wiki wee ni kwenye kitchen party, ama harus ama sherehe sijui za begi paarty punguza nenda zile za muhimu tu. na pia ndio wakati ambao unatakiwa menu ya nyumbani uisimamie iwe ile inayovutia siyo mume kila siku wamlisha nyama kitunguu kimesimama, na nyanya inaogelea.
mpendwa hebu rudi jiangalie kwenye haya niliyosema haina maana kwamba umekosea la ila nataka nikuonyeshe power of a woman in creating a strong bond. pia usisahau kuonyesha nia ya kuongeza kipato cha familia hata kama ni kidogo hii itakupa nafasi ya kupunguza matumizi kwenye hela ambayo mnaitenga kwaajilia ya matumizi ya ndani. mwenzenu miye hadi ubuyu nilifunga na karanga na juis na sikuona aibu sku ya kauvunja kibubu sikosi mshahara wa mabinti wa kazi pamoja na bili za maziwa.
Wadau mimi nimeishi kwenye ndoa kwa miaka mitatu, na nimejaliwa kuwa na mtoto mmoja. Before ndoa ilikuwa na bashasha na furaha, lakini sasa mume wangu amekuwa mkimya sana hatuongei tena kuhusu mapenzi, ni busness na family talks tu! Hata muda wa ku do hakuna love talks...ni kimya kimya! Tukiwa home kila mtu anakuwa busy...! Hii imenipunguzia mvuto na nimekuwa more cold as a results naona kama ndo tunafika mwisho wa ndoa yetu. Je kuna njia yeyote ya kurudisha zile old days? Au ndoa zote zipo hivi? Naombeni Msaada jamani.
Mtaniwia radhi, mimi ndoa yangu ilikaribia kufikia hatua hii, nikatumia technique ambayo nilikumbuka wakati wa uchumba wetu tulikuwa tukiitumia basi mapenzi yanakuwa moto moto zaidi, naamini ilikuwa inatokea naturarly wakati ule, lakini mpaka sasa nikiitumia inawasha moto wa mapenzi kwa kiwango kikubwa sana.
Kwa vile wewe ni mwanamke, unaweza ukaanzisha kwenye meseji, just text him message ya kumchokoza, mueleze, Mwite kwa jina kabisa, kwa mfano "sangarara leo nina nyege", alafu angalia atakavyokujibu, naamini huko aliko lazima asituke kidogo, au "sangarara leo nataka kuto_bwa lakini nataka niikalie mwenyewe" atarudi nyumbani kama kachanganyikiwa, utapata majibu
Umeona eeh. Hizo dirty talks ndio zinawapumbaza wanaume wengi na kujiona vijana wanapokuwa na nyumba ndogo. Akya nani mimi huyu huyu ndio nyumba kubwa na ndogo kwa mume wangu; fa mchezo...
Wewe mama wewe lazima unafurahia sana maisha yako wewe.
Wadau mimi nimeishi kwenye ndoa kwa miaka mitatu, na nimejaliwa kuwa na mtoto mmoja. Before ndoa ilikuwa na bashasha na furaha, lakini sasa mume wangu amekuwa mkimya sana hatuongei tena kuhusu mapenzi, ni busness na family talks tu! Hata muda wa ku do hakuna love talks...ni kimya kimya! Tukiwa home kila mtu anakuwa busy...! Hii imenipunguzia mvuto na nimekuwa more cold as a results naona kama ndo tunafika mwisho wa ndoa yetu. Je kuna njia yeyote ya kurudisha zile old days? Au ndoa zote zipo hivi? Naombeni Msaada jamani.
ahsante ndugu, ila mmmh iyo option ya pili, sijui nitamconvice vipi kuja kwako...!
Wadau mimi nimeishi kwenye ndoa kwa miaka mitatu, na nimejaliwa kuwa na mtoto mmoja. Before ndoa ilikuwa na bashasha na furaha, lakini sasa mume wangu amekuwa mkimya sana hatuongei tena kuhusu mapenzi, ni busness na family talks tu! Hata muda wa ku do hakuna love talks...ni kimya kimya! Tukiwa home kila mtu anakuwa busy...! Hii imenipunguzia mvuto na nimekuwa more cold as a results naona kama ndo tunafika mwisho wa ndoa yetu. Je kuna njia yeyote ya kurudisha zile old days? Au ndoa zote zipo hivi? Naombeni Msaada jamani.[/QUOTE
Pole sana. Kila mtu afanye jitihada binafsi za kurudisha ndoa yenu kwenye mstari. Zungumzeni na kukubaliana kwama kuna kitu kinapungua na mnapaswa kukirekebisha... Mkifanya mzaha mkafika mpaka 40's huko ndio itakuwa imetoka