Quote nzuri sana hiimateso ya mwenye haki ni mengi ila Mungu humuepusha na yote

WATU MNAFUKUA MAKABULI YAANI MIAKA KARIBIA NANE LEO NDO YANAFUKULIWA? HUENDA HATA ID KASHABADILISHAHuna akili we boya
Last seen yake ni jana jamaa yupo lknWATU MNAFUKUA MAKABULI YAANI MIAKA KARIBIA NANE LEO NDO YANAFUKULIWA? HUENDA HATA ID KASHABADILISHA
Ukweli usemwe jamaa ni fala
Huyo boss alikukojolea I'm sureWanawake huwa tunadanganyika na vitu vidogo sana.. hii story yako imenikumbusha mimi kipindi cha uchumba na mume wangu tulipendana sana yani sana (ofcoz mpaka sasa tunapendana), kipindi hicho cha uchumba kabla ya ndoa nikapata kazi mkoa mwingine (tulilia sana kukaa mbali mbali coz hatukuwa tumezoea) lakini kukawa hakuna jinsi.. basi nikaripot kazini penz shatashata kama kawaida na bby anakuja kunitembelea mara kwa mara and mwaka huo ndo tulipanga tufunge ndoa.. bwana wee shetani alipotokea🙌 namwita shetani mana yule ni kashetani kenye mwili wa binadam.. akaja boss mpya kwenye ofisi yetu, kumbe tangu amefika ameshaambiwa hapa kuna mabint wa3 na tabia zetu lakini akaambiwa huyu mmoja amechumbiwa soon anaolewa akasema sawa.. mimi siku ya kwanza tumekutana kwenye meeting akaanza ile kunishobokea mimi nikajua tu kama kaka basi siku zinavyozidi kwenda akawa ananijali kuliko kawaida na mm sasa machale yakaanza kunicheza kwamba huyu vipi mbona km anapitiliza kwenye ukaka, rafiki yng mmoja akaniambia hold on dear ukute unaoverthink tu (kashetani kengine haka) mimo nkasema fresh uzuri anajua nishachumbiwa… sasa yule kaka akawa kama anafanya kufuru sio kwa care zile nitake nini mm mtoto wa watu nisipate😀🙌 basi sijui tamaa pamoja na ukaribu wa muda mrefu si nikajikuta na fall nae inlove🥺 hapo rafiki yangu anajifanya mama ushauri et yani ungekuwa hujachumbiwa ningekushauri ubak naye (mfyuuu shetani ni wengi duniani😄) basi bhn uzuri mimi ni mtu wa kusali sana sana sana so nilikuwa naomba Mungu aniongoze katika kufanya maamuzi mind you siku zinaenda haruc imekaribia watu wanataka waanze kuchangisha michango nikawastopisha (hapa mchumba wangu alichanganyikiwa🥺, lakini mwisho wa siku nikatoa sababu za uongo na kweli akanielewa maskini dah naumia nikikumbuka) basi bwana yule kaka boss anajishaua et kama uko tayari nitume washenga and bla bla to cut the story short nikamdanganya nimekataa kuolewa na yule kaka ili anioe yeye ( hapa ndo nilipojua rangi zake kwamba ni muhuni, mbinafsi na tabia nyingi mbovu) nikamshukuru Mungu sikukurupuka na nikazshinda hisia mana ningejuta mno mnoo.. mwisho nikaolewa na Mme wangu kipenz
To cut the story uliliwa mara ngapi Boss?Wanawake huwa tunadanganyika na vitu vidogo sana.. hii story yako imenikumbusha mimi kipindi cha uchumba na mume wangu tulipendana sana yani sana (ofcoz mpaka sasa tunapendana), kipindi hicho cha uchumba kabla ya ndoa nikapata kazi mkoa mwingine (tulilia sana kukaa mbali mbali coz hatukuwa tumezoea) lakini kukawa hakuna jinsi.. basi nikaripot kazini penz shatashata kama kawaida na bby anakuja kunitembelea mara kwa mara and mwaka huo ndo tulipanga tufunge ndoa.. bwana wee shetani alipotokea🙌 namwita shetani mana yule ni kashetani kenye mwili wa binadam.. akaja boss mpya kwenye ofisi yetu, kumbe tangu amefika ameshaambiwa hapa kuna mabint wa3 na tabia zetu lakini akaambiwa huyu mmoja amechumbiwa soon anaolewa akasema sawa.. mimi siku ya kwanza tumekutana kwenye meeting akaanza ile kunishobokea mimi nikajua tu kama kaka basi siku zinavyozidi kwenda akawa ananijali kuliko kawaida na mm sasa machale yakaanza kunicheza kwamba huyu vipi mbona km anapitiliza kwenye ukaka, rafiki yng mmoja akaniambia hold on dear ukute unaoverthink tu (kashetani kengine haka) mimo nkasema fresh uzuri anajua nishachumbiwa… sasa yule kaka akawa kama anafanya kufuru sio kwa care zile nitake nini mm mtoto wa watu nisipate😀🙌 basi sijui tamaa pamoja na ukaribu wa muda mrefu si nikajikuta na fall nae inlove🥺 hapo rafiki yangu anajifanya mama ushauri et yani ungekuwa hujachumbiwa ningekushauri ubak naye (mfyuuu shetani ni wengi duniani😄) basi bhn uzuri mimi ni mtu wa kusali sana sana sana so nilikuwa naomba Mungu aniongoze katika kufanya maamuzi mind you siku zinaenda haruc imekaribia watu wanataka waanze kuchangisha michango nikawastopisha (hapa mchumba wangu alichanganyikiwa🥺, lakini mwisho wa siku nikatoa sababu za uongo na kweli akanielewa maskini dah naumia nikikumbuka) basi bwana yule kaka boss anajishaua et kama uko tayari nitume washenga and bla bla to cut the story short nikamdanganya nimekataa kuolewa na yule kaka ili anioe yeye ( hapa ndo nilipojua rangi zake kwamba ni muhuni, mbinafsi na tabia nyingi mbovu) nikamshukuru Mungu sikukurupuka na nikazshinda hisia mana ningejuta mno mnoo.. mwisho nikaolewa na Mme wangu kipenz
Abanwe atuambie ndoa ilidumuLast seen yake ni jana jamaa yupo lkn
Naomba nikushauri kama mtu ambae pia niko kwenye ndoa, kwa hali hiyo nenda kamuone mama yake hata kitenge cha zawadi mpelekee na nenda ikiwezekana bila yeye kujua mueleze vizuri kuhusu mwenendo wa mwanae kuhusu kumuacha kwa kweli sifikirii ukifanye ilo maana hao watoto utawaumiza sanasana na kamwe usioende kuachana halafu ktk mazungumzo sijaona kabisa ratiba za kanisani aisee mwenyezi Mungu yupo ibada inasaidia sana kuomba pamoja nyumbani kama familia inasaidia sana unajua unaweza sema ni yeye anataka muachane ila kumbe si yeye aisee kuna wanaume wa ajabu sana hii dunia kuharibu ndoa za wenzao humwendea mwanamke kwa waganga mwanamke anakuwa ajielewi anamtaka huyo jamaa hili lipp aisee na nimewahi kulishuhudia sasa ibada kuomba pamoja hubadili sana matokea ya uganga badili ratiba zako pata muda wa kwenda kanisani kama familia kuna jambo litabadilika,aisee Bwana Yesu akutunze wewe na familia yako naumia sana kusikia hili Ndoa inapigwa sana vita na shetani kwa sababu ukiliga ndoa mkiachana maana yake familia imesambaratika upendo umepotea usikubali kuachana aisee pambana mpaka mwisho kama zawadi tu mnunulie hata kama makosa ni yake jaribu kumpeleka sehem nzuri na muelezenjinsi unampenda maua haya yanamchango wake kurudisha upendo.Binafsi nipo kwenye ndoa takribani miaka mine na tumebarikiwa watoto wawili. Changamoto zilianza mke alipohamishwa kikazi mwaka juzi kutoka Dar kwenda Morogoro.
Kutokana na ukaribu nikawa najituma sana kutwa kwenda halafu isitoshe huyu mtoto wa pili alikua mwaka mmoja. Umbali ukasababisha mimi niwe mnywaji kidogo kuondoa upweke kuliko niwe nachepuka. Nikawa napunguza safari za kwenda weekend na yeye akazidisha mahusiano ya simu na mfanyakazi mwenzie(sijui kama walitembea ila nilijua wana uhusiano baada ya kunasa chat maana ilifika kipindi anajua weekend nalala ndo anakua busy kwa simu wakiongea na huyo mpaka nilivyombana na chats aka admit wanamahusiano via simu na huyo mtu yupo Dar).
Siku moja nikaenda Moro ghafla nikakuta anachat nae bado na isitoshe kuna mwingine wa Moro; nilimdunda hatari. Tukasuluhishwa na familia baada ya hapo kila tukikwaruzana kidogo anakimbilia kusisitiza tuachane yaani ndo ukawa wimbo.
Sasa nikaona kuondoa usumbufu na yeye kuhamia Dar aligoma kwa kusema maisha nafuu Moro nikatafuta kazi Moro nikahamia(nilipata kazi half the pay ya Dar) ila nilimweleza la msingi tuwe pamoja tuweze nusuru ndoa.
Sasa tangu tumeamua kukaa pamoja mambo hayajawa mepesi. Mimi na-cover basic needs kama kawaida yangu na napambana na biashara ila mwenzangu amekuwa amepotea kabisa kimapenzi. Tangu mwaka huu tunaweza kuwa tumesex si zaida ya mara 15 am sure maana mwenzangu hayupo kabisa anaona nimembana sana.
Kila kitu anatupia lawama nivomdundaga na matatizo ya nyuma. Nimejitahid kumpa space sana ila naona kitu kidogo anakimbilia kutaka talaka.
Sasa kilichonipelekea kuandika uzi huu ni majuzi nilimwambia naenda Dar maana alikua yupo moody sikujua ni sababu yangu au lah. Nikamwambia tu nina safari ya Dar week nzima; aisee alifurahii sana.
Safari ilikuwa ya siku mbili nikarejea jioni nikamtafuta kwenye simu akawa hapokei alivyotoka kibaruani. Jirani yetu ni mfanyakaz mwenzie akarudi tukapishana nikamuuliza vipi shoga yako akasema tumeachana amesema anapita sokoni mara moja (nikaona very rare kutorudi na shoga yake).
Wife akanitumia meseji akasema ametoka outing na shoga zake. Nikasema fine mimi nikanyuti nje mtaa wa pili kuona nani angerudi nae.
Kuna gari ikaja ikapaki kwa jirani ikakaa dakika kama 15 akashuka halafu gari ikaondoka. Alivyoingia ndani nami nikamfwata kwa nyuma
akashtuka sana. Nikamuuliza nani akasema rafiki yake tu walienda pata wine.
Nikamwambia naomba uwe makini tu kuna maradhi. Kama tumefikia huko naomba basi uwe na amani ufanye yako na si hapa kwangu na isitoshe tuna watoto wadogo usilete jazba kwenye haya mambo(maana tulivoingia ndani akaanza kuwaka kama simuamini alivyosema yupo outing nikamweleza outing sio issue ishu umetoka huko mkaweka kambi kwenye gari mie nawaona tu mnapiga story hamkumaliza huko outing)
Nimegundua hana mapenz kwa sasa na nimevumilia sana vituko vyake ila nawaza niwashirikishe wazazi wake na wadhamini wetu nataka niwachukue wanangu nirudi Dar nimpe nafasi tu.
Mkewangu ananiuma sana kila nikikumbuka nilivyompata, mahusiano yetu nk. Yeye ndo alikuwa kipaumbele kunitia sana moyo pale nilipokwama au kusita jambo(hii naandika kwa majonzi sana)
Umri wake haujazidi 30 bado na kuna muda naamini alingia ndoani akiwa mdogo sijui kuna mambo hajafanya? Ila mimi ni mtu wa kuwa huru sana namwambiaga nishirikishe nikupe kibali sina hiyana wala nini cha msingi ni imani tu kwamba hatavuka mipaka.
Suala la uwezo sijalitilia uzito maana yeye binafsi ana kazi na mshahara wake kwakweli huwa simgusiagi hata kidogo anafanya atakavyo. Mimi nina nyumba Dar ndo nimepangisha kuja kuishi naye huku. In short majukumu yangu nayajua na nayamudu.
Suala la kitandani lilikuwa zuri tu sote tunafurahi nk. Mwaka huu lilianza kususasua penzi la kubembeleza yeye ata enjoy ila mpaka nimemuandaa nimemconvince mbona shughuli.
Kwa upande wangu sio mnywaji sana na anajua. Nikinywa tu wine nikiwa nae ntajitahid kumueleza kiu yangu juu ya mambo ambayo hanitimizii hapo nae atarukia "si uniache"bas mkibishana atasema mlevi tatizo.
Weekend ndo tunakaa na kujadili mambo ila mara chache sana maana katikati ya wiki akirudi home yeye kachoka ni kula kulala tu.
Mimi ni mwanadamu pia naweza kuwa na mapungufuyangu ila all i know kuachilia mbali kila jambo nimekuwa nikijitahid kuomba msamaha ninapokosea nk.
Ndugu zangu ndo wanaona nimekamatwa kwelikweli ila nakuwa najitahid niishi ki maadili maana mke mwenyewe mmoja.
Nimesali sana mpaka nimeona kama ni watoto hata nikisema nimpotezee nitahitaji kuwaona wanangu ambapo itapelekea nimwone labda na yeye kitu ambacho mda mwingi kinaniwia ngumu kuvunja familia. Ila nikisema nibebe watoto(namjua kwa sasa majibu yake atasema nenda nao tu la msingi tuachaneee nk) nitabeba ila nataka niombe nisingependa kusikia pua yake na wakwe ndo watakua gia ya kuwaona. Ninataka full right ya wanangu nina uwezo wa kuwalea vizuri. Yani naumia sana ila naona ndo best option kwa sasa.
Naomba ushauri wenu wakuu
Binafsi nipo kwenye ndoa takribani miaka mine na tumebarikiwa watoto wawili. Changamoto zilianza mke alipohamishwa kikazi mwaka juzi kutoka Dar kwenda Morogoro.

Naomba nikushauri kama mtu ambae pia niko kwenye ndoa, kwa hali hiyo nenda kamuone mama yake hata kitenge cha zawadi mpelekee na nenda ikiwezekana bila yeye kujua mueleze vizuri kuhusu mwenendo wa mwanae kuhusu kumuacha kwa kweli sifikirii ukifanye ilo maana hao watoto utawaumiza sanasana na kamwe usioende kuachana halafu ktk mazungumzo sijaona kabisa ratiba za kanisani aisee mwenyezi Mungu yupo ibada inasaidia sana kuomba pamoja nyumbani kama familia inasaidia sana unajua unaweza sema ni yeye anataka muachane ila kumbe si yeye aisee kuna wanaume wa ajabu sana hii dunia kuharibu ndoa za wenzao humwendea mwanamke kwa waganga mwanamke anakuwa ajielewi anamtaka huyo jamaa hili lipp aisee na nimewahi kulishuhudia sasa ibada kuomba pamoja hubadili sana matokea ya uganga badili ratiba zako pata muda wa kwenda kanisani kama familia kuna jambo litabadilika,aisee Bwana Yesu akutunze wewe na familia yako naumia sana kusikia hili Ndoa inapigwa sana vita na shetani kwa sababu ukiliga ndoa mkiachana maana yake familia imesambaratika upendo umepotea usikubali kuachana aisee pambana mpaka mwisho kama zawadi tu mnunulie hata kama makosa ni yake jaribu kumpeleka sehem nzuri na muelezenjinsi unampenda maua haya yanamchango wake kurudisha upendo.
Nikipata muda mzuri nitasoma vizuri limulizi lako, lakini ninachokushauri "usuchukue ushauri wowote kutoka humu". Don't be influenced in any way to take a decision based on what you hear from colleagues on this platform. I'll come back on this.Binafsi nipo kwenye ndoa takribani miaka mine na tumebarikiwa watoto wawili. Changamoto zilianza mke alipohamishwa kikazi mwaka juzi kutoka Dar kwenda Morogoro.
Kutokana na ukaribu nikawa najituma sana kutwa kwenda halafu isitoshe huyu mtoto wa pili alikua mwaka mmoja. Umbali ukasababisha mimi niwe mnywaji kidogo kuondoa upweke kuliko niwe nachepuka. Nikawa napunguza safari za kwenda weekend na yeye akazidisha mahusiano ya simu na mfanyakazi mwenzie(sijui kama walitembea ila nilijua wana uhusiano baada ya kunasa chat maana ilifika kipindi anajua weekend nalala ndo anakua busy kwa simu wakiongea na huyo mpaka nilivyombana na chats aka admit wanamahusiano via simu na huyo mtu yupo Dar).
Siku moja nikaenda Moro ghafla nikakuta anachat nae bado na isitoshe kuna mwingine wa Moro; nilimdunda hatari. Tukasuluhishwa na familia baada ya hapo kila tukikwaruzana kidogo anakimbilia kusisitiza tuachane yaani ndo ukawa wimbo.
Sasa nikaona kuondoa usumbufu na yeye kuhamia Dar aligoma kwa kusema maisha nafuu Moro nikatafuta kazi Moro nikahamia(nilipata kazi half the pay ya Dar) ila nilimweleza la msingi tuwe pamoja tuweze nusuru ndoa.
Sasa tangu tumeamua kukaa pamoja mambo hayajawa mepesi. Mimi na-cover basic needs kama kawaida yangu na napambana na biashara ila mwenzangu amekuwa amepotea kabisa kimapenzi. Tangu mwaka huu tunaweza kuwa tumesex si zaida ya mara 15 am sure maana mwenzangu hayupo kabisa anaona nimembana sana.
Kila kitu anatupia lawama nivomdundaga na matatizo ya nyuma. Nimejitahid kumpa space sana ila naona kitu kidogo anakimbilia kutaka talaka.
Sasa kilichonipelekea kuandika uzi huu ni majuzi nilimwambia naenda Dar maana alikua yupo moody sikujua ni sababu yangu au lah. Nikamwambia tu nina safari ya Dar week nzima; aisee alifurahii sana.
Safari ilikuwa ya siku mbili nikarejea jioni nikamtafuta kwenye simu akawa hapokei alivyotoka kibaruani. Jirani yetu ni mfanyakaz mwenzie akarudi tukapishana nikamuuliza vipi shoga yako akasema tumeachana amesema anapita sokoni mara moja (nikaona very rare kutorudi na shoga yake).
Wife akanitumia meseji akasema ametoka outing na shoga zake. Nikasema fine mimi nikanyuti nje mtaa wa pili kuona nani angerudi nae.
Kuna gari ikaja ikapaki kwa jirani ikakaa dakika kama 15 akashuka halafu gari ikaondoka. Alivyoingia ndani nami nikamfwata kwa nyuma
akashtuka sana. Nikamuuliza nani akasema rafiki yake tu walienda pata wine.
Nikamwambia naomba uwe makini tu kuna maradhi. Kama tumefikia huko naomba basi uwe na amani ufanye yako na si hapa kwangu na isitoshe tuna watoto wadogo usilete jazba kwenye haya mambo(maana tulivoingia ndani akaanza kuwaka kama simuamini alivyosema yupo outing nikamweleza outing sio issue ishu umetoka huko mkaweka kambi kwenye gari mie nawaona tu mnapiga story hamkumaliza huko outing)
Nimegundua hana mapenz kwa sasa na nimevumilia sana vituko vyake ila nawaza niwashirikishe wazazi wake na wadhamini wetu nataka niwachukue wanangu nirudi Dar nimpe nafasi tu.
Mkewangu ananiuma sana kila nikikumbuka nilivyompata, mahusiano yetu nk. Yeye ndo alikuwa kipaumbele kunitia sana moyo pale nilipokwama au kusita jambo(hii naandika kwa majonzi sana)
Umri wake haujazidi 30 bado na kuna muda naamini alingia ndoani akiwa mdogo sijui kuna mambo hajafanya? Ila mimi ni mtu wa kuwa huru sana namwambiaga nishirikishe nikupe kibali sina hiyana wala nini cha msingi ni imani tu kwamba hatavuka mipaka.
Suala la uwezo sijalitilia uzito maana yeye binafsi ana kazi na mshahara wake kwakweli huwa simgusiagi hata kidogo anafanya atakavyo. Mimi nina nyumba Dar ndo nimepangisha kuja kuishi naye huku. In short majukumu yangu nayajua na nayamudu.
Suala la kitandani lilikuwa zuri tu sote tunafurahi nk. Mwaka huu lilianza kususasua penzi la kubembeleza yeye ata enjoy ila mpaka nimemuandaa nimemconvince mbona shughuli.
Kwa upande wangu sio mnywaji sana na anajua. Nikinywa tu wine nikiwa nae ntajitahid kumueleza kiu yangu juu ya mambo ambayo hanitimizii hapo nae atarukia "si uniache"bas mkibishana atasema mlevi tatizo.
Weekend ndo tunakaa na kujadili mambo ila mara chache sana maana katikati ya wiki akirudi home yeye kachoka ni kula kulala tu.
Mimi ni mwanadamu pia naweza kuwa na mapungufuyangu ila all i know kuachilia mbali kila jambo nimekuwa nikijitahid kuomba msamaha ninapokosea nk.
Ndugu zangu ndo wanaona nimekamatwa kwelikweli ila nakuwa najitahid niishi ki maadili maana mke mwenyewe mmoja.
Nimesali sana mpaka nimeona kama ni watoto hata nikisema nimpotezee nitahitaji kuwaona wanangu ambapo itapelekea nimwone labda na yeye kitu ambacho mda mwingi kinaniwia ngumu kuvunja familia. Ila nikisema nibebe watoto(namjua kwa sasa majibu yake atasema nenda nao tu la msingi tuachaneee nk) nitabeba ila nataka niombe nisingependa kusikia pua yake na wakwe ndo watakua gia ya kuwaona. Ninataka full right ya wanangu nina uwezo wa kuwalea vizuri. Yani naumia sana ila naona ndo best option kwa sasa.
Naomba ushauri wenu wakuu
usikubali ushauri huu kuna mawili uwe mvumilivu hadi ajitoe mwenyewe au chapa raba ondoka 4ever hakuna kurudi nyuma anza maisha yako ya kuish kama ninja ila ukiwa na furahaNaomba nikushauri kama mtu ambae pia niko kwenye ndoa, kwa hali hiyo nenda kamuone mama yake hata kitenge cha zawadi mpelekee na nenda ikiwezekana bila yeye kujua mueleze vizuri kuhusu mwenendo wa mwanae kuhusu kumuacha kwa kweli sifikirii ukifanye ilo maana hao watoto utawaumiza sanasana na kamwe usioende kuachana halafu ktk mazungumzo sijaona kabisa ratiba za kanisani aisee mwenyezi Mungu yupo ibada inasaidia sana kuomba pamoja nyumbani kama familia inasaidia sana unajua unaweza sema ni yeye anataka muachane ila kumbe si yeye aisee kuna wanaume wa ajabu sana hii dunia kuharibu ndoa za wenzao humwendea mwanamke kwa waganga mwanamke anakuwa ajielewi anamtaka huyo jamaa hili lipp aisee na nimewahi kulishuhudia sasa ibada kuomba pamoja hubadili sana matokea ya uganga badili ratiba zako pata muda wa kwenda kanisani kama familia kuna jambo litabadilika,aisee Bwana Yesu akutunze wewe na familia yako naumia sana kusikia hili Ndoa inapigwa sana vita na shetani kwa sababu ukiliga ndoa mkiachana maana yake familia imesambaratika upendo umepotea usikubali kuachana aisee pambana mpaka mwisho kama zawadi tu mnunulie hata kama makosa ni yake jaribu kumpeleka sehem nzuri na muelezenjinsi unampenda maua haya yanamchango wake kurudisha upendo.
Binafsi nipo kwenye ndoa takribani miaka mine na tumebarikiwa watoto wawili. Changamoto zilianza mke alipohamishwa kikazi mwaka juzi kutoka Dar kwenda Morogoro.
Kutokana na ukaribu nikawa najituma sana kutwa kwenda halafu isitoshe huyu mtoto wa pili alikua mwaka mmoja. Umbali ukasababisha mimi niwe mnywaji kidogo kuondoa upweke kuliko niwe nachepuka. Nikawa napunguza safari za kwenda weekend na yeye akazidisha mahusiano ya simu na mfanyakazi mwenzie(sijui kama walitembea ila nilijua wana uhusiano baada ya kunasa chat maana ilifika kipindi anajua weekend nalala ndo anakua busy kwa simu wakiongea na huyo mpaka nilivyombana na chats aka admit wanamahusiano via simu na huyo mtu yupo Dar).
Siku moja nikaenda Moro ghafla nikakuta anachat nae bado na isitoshe kuna mwingine wa Moro; nilimdunda hatari. Tukasuluhishwa na familia baada ya hapo kila tukikwaruzana kidogo anakimbilia kusisitiza tuachane yaani ndo ukawa wimbo.
Sasa nikaona kuondoa usumbufu na yeye kuhamia Dar aligoma kwa kusema maisha nafuu Moro nikatafuta kazi Moro nikahamia(nilipata kazi half the pay ya Dar) ila nilimweleza la msingi tuwe pamoja tuweze nusuru ndoa.
Sasa tangu tumeamua kukaa pamoja mambo hayajawa mepesi. Mimi na-cover basic needs kama kawaida yangu na napambana na biashara ila mwenzangu amekuwa amepotea kabisa kimapenzi. Tangu mwaka huu tunaweza kuwa tumesex si zaida ya mara 15 am sure maana mwenzangu hayupo kabisa anaona nimembana sana.
Kila kitu anatupia lawama nivomdundaga na matatizo ya nyuma. Nimejitahid kumpa space sana ila naona kitu kidogo anakimbilia kutaka talaka.
Sasa kilichonipelekea kuandika uzi huu ni majuzi nilimwambia naenda Dar maana alikua yupo moody sikujua ni sababu yangu au lah. Nikamwambia tu nina safari ya Dar week nzima; aisee alifurahii sana.
Safari ilikuwa ya siku mbili nikarejea jioni nikamtafuta kwenye simu akawa hapokei alivyotoka kibaruani. Jirani yetu ni mfanyakaz mwenzie akarudi tukapishana nikamuuliza vipi shoga yako akasema tumeachana amesema anapita sokoni mara moja (nikaona very rare kutorudi na shoga yake).
Wife akanitumia meseji akasema ametoka outing na shoga zake. Nikasema fine mimi nikanyuti nje mtaa wa pili kuona nani angerudi nae.
Kuna gari ikaja ikapaki kwa jirani ikakaa dakika kama 15 akashuka halafu gari ikaondoka. Alivyoingia ndani nami nikamfwata kwa nyuma
akashtuka sana. Nikamuuliza nani akasema rafiki yake tu walienda pata wine.
Nikamwambia naomba uwe makini tu kuna maradhi. Kama tumefikia huko naomba basi uwe na amani ufanye yako na si hapa kwangu na isitoshe tuna watoto wadogo usilete jazba kwenye haya mambo(maana tulivoingia ndani akaanza kuwaka kama simuamini alivyosema yupo outing nikamweleza outing sio issue ishu umetoka huko mkaweka kambi kwenye gari mie nawaona tu mnapiga story hamkumaliza huko outing)
Nimegundua hana mapenz kwa sasa na nimevumilia sana vituko vyake ila nawaza niwashirikishe wazazi wake na wadhamini wetu nataka niwachukue wanangu nirudi Dar nimpe nafasi tu.
Mkewangu ananiuma sana kila nikikumbuka nilivyompata, mahusiano yetu nk. Yeye ndo alikuwa kipaumbele kunitia sana moyo pale nilipokwama au kusita jambo(hii naandika kwa majonzi sana)
Umri wake haujazidi 30 bado na kuna muda naamini alingia ndoani akiwa mdogo sijui kuna mambo hajafanya? Ila mimi ni mtu wa kuwa huru sana namwambiaga nishirikishe nikupe kibali sina hiyana wala nini cha msingi ni imani tu kwamba hatavuka mipaka.
Suala la uwezo sijalitilia uzito maana yeye binafsi ana kazi na mshahara wake kwakweli huwa simgusiagi hata kidogo anafanya atakavyo. Mimi nina nyumba Dar ndo nimepangisha kuja kuishi naye huku. In short majukumu yangu nayajua na nayamudu.
Suala la kitandani lilikuwa zuri tu sote tunafurahi nk. Mwaka huu lilianza kususasua penzi la kubembeleza yeye ata enjoy ila mpaka nimemuandaa nimemconvince mbona shughuli.
Kwa upande wangu sio mnywaji sana na anajua. Nikinywa tu wine nikiwa nae ntajitahid kumueleza kiu yangu juu ya mambo ambayo hanitimizii hapo nae atarukia "si uniache"bas mkibishana atasema mlevi tatizo.
Weekend ndo tunakaa na kujadili mambo ila mara chache sana maana katikati ya wiki akirudi home yeye kachoka ni kula kulala tu.
Mimi ni mwanadamu pia naweza kuwa na mapungufuyangu ila all i know kuachilia mbali kila jambo nimekuwa nikijitahid kuomba msamaha ninapokosea nk.
Ndugu zangu ndo wanaona nimekamatwa kwelikweli ila nakuwa najitahid niishi ki maadili maana mke mwenyewe mmoja.
Nimesali sana mpaka nimeona kama ni watoto hata nikisema nimpotezee nitahitaji kuwaona wanangu ambapo itapelekea nimwone labda na yeye kitu ambacho mda mwingi kinaniwia ngumu kuvunja familia. Ila nikisema nibebe watoto(namjua kwa sasa majibu yake atasema nenda nao tu la msingi tuachaneee nk) nitabeba ila nataka niombe nisingependa kusikia pua yake na wakwe ndo watakua gia ya kuwaona. Ninataka full right ya wanangu nina uwezo wa kuwalea vizuri. Yani naumia sana ila naona ndo best option kwa sasa.
Naomba ushauri wenu wakuu
you pressed the wrong button...uzuri nimekua sana ila pia sijaacha retaliate.."weak man baba yako ''"Weak Man" Did you ever provide feedback? Usikute Bado unateseka kwenye ndoa!
you pressed the wrong button...uzuri nimekua sana ila pia sijaacha retaliate.."weak man baba yako ''
hahaha back to basics...ase ntashusha mrejesho hapo chini mda si mrefu mpwa
Usisahau nitag mkuu.you pressed the wrong button...uzuri nimekua sana ila pia sijaacha retaliate.."weak man baba yako ''
hahaha back to basics...ase ntashusha mrejesho hapo chini mda si mrefu mpwa
karibu mkuu nimetoa juu juu apoUsisahau nitag mkuu.