Sikumlazimisha kumuoa, alikubali yeye mwenyeweHujamuelewa mwenzio
Kamaanisha umemuoa mapema hajafanya alotaka kuyafnya
Muda huo alikuwa anatak ndoa now anatak uhuruSikumlazimisha kumuoa, alikubali yeye mwenyewe
Ila wanawake tuna nini lakin sasa miaka 34 n mzee😳😳Habari wakuu
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.
Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.
MKE WANGU ANANIONA MIMI NI MZEE KWAKE
Mimi na yeye tumepisha umri wa miaka 6 yaani nimempita miaka 6 ya kuzaliwa
LEO ananiambia "wewe umenipita miaka mingi sana, yaani miaka 6 ni mingi sana, ilitakiwa angalau unipite miaka 2, wewe ni mkubwa sana kwangu, ilitakiwa tupishane miaka 2, ulinioa nikiwa mdogo, kwani hukujua kuwa umenipita miaka mingi."
Mimi nilikaa zangu kimya nikitafakari maneno yake, inanishangaza kuniona Mimi ni mzee Kwake, najiuliza maswali kama Leo sijafikisha hata miaka 40 lakini ananiona age go, je? Uzeeni si ataninyanyasa sana.
Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.
NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28
Ewaaa....atafute dogo dogoKatafute mwanamke mrembo na mzuri hasa, miaka 22. Tayari jibu unalo.
Mzee ushajichanganya apo....Elewa picha apo kuna vijana umri wake washaanza kusimamia kucha anaona ww mzee huna jipya.Habari wakuu
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.
Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.
MKE WANGU ANANIONA MIMI NI MZEE KWAKE
Mimi na yeye tumepisha umri wa miaka 6 yaani nimempita miaka 6 ya kuzaliwa
LEO ananiambia "wewe umenipita miaka mingi sana, yaani miaka 6 ni mingi sana, ilitakiwa angalau unipite miaka 2, wewe ni mkubwa sana kwangu, ilitakiwa tupishane miaka 2, ulinioa nikiwa mdogo, kwani hukujua kuwa umenipita miaka mingi."
Mimi nilikaa zangu kimya nikitafakari maneno yake, inanishangaza kuniona Mimi ni mzee Kwake, najiuliza maswali kama Leo sijafikisha hata miaka 40 lakini ananiona age go, je? Uzeeni si ataninyanyasa sana.
Nasubiri maoni yenu wakuu, nilipanga nimuwezeshe kibiashara lakini naona bora nimuache awe mama wa nyumbani tuu, na hiyo pesa ya mtaji Bora nimtumie mama yangu aitafune taratibu.
NB: Umri wangu Mimi ni miaka 34 na yeye umri wake ni miaka 28
Apo unasubir penshen tu....kwel ukiwa na hela huzeekiAmepata kijana nje anapiga show kinyama anakuona mzee.
Na 34 mume wangu 57 tuna tofauti ya miaka 20+ na simuoni mzee.
Ulimdanganya umri wakati unamtongoza? Amekua mwaka huu kubwa umemzidi sana? Na je anafikiri unakwama wapi kwa umri huo ulizidi? Kuna mahali umeshindwa kupafom?Sikumlazimisha kumuoa, alikubali yeye mwenyewe
Na huu ndio ukweli maana tofauti ya miaka 6 hawezi kuongea hivyo labda kama ilikuwa kwenye muktadha wa kimasihara ila kama alikuwa serious basi sababu ni hii bila kupepesa macho. Kuna mahali jemedari anatuangushaNi hilo tu au kuna jingine umetuficha?
Umri wako unamuathiri nini yeye?
Ukute kuna mahali hujagusa na ameguswa na mtu huko mtaani basi anakuona wewe ajuza
Angalia ulipokosea urekebishe mkuu