Ndoa ya Queen Darleen Chalii

Ndoa ya Queen Darleen Chalii

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Ila hii familia Ina nuksi kwenye masuala ya ndoa, familia Nzima hakuna mwenye ndoa ya kueleweka. Isihaka kashajua Queen Darleen hana undugu na Diamond kaamua kumuacha(jokes)

Umbea wq chini chini unadai queen darleen kalambwa talaka tatu na aliyekua mumewe, chanzo bado hakijajulikana
 
Tafuta pesa ujue chawa na ukoo wako
 
Mmmh baada ya kuhangaika weee akafanikiwa kumtoa bi mkubwa tena kwa talaka tatu hata hajatawala vizuri nae kasombwa na mafuriko ya talaka aiseee.

Mi alikuwa ananiboa sana,najua ni wengi alikuwa anatuboa kwa mikogo yake sijui sukari ya isihaka khaaa alafu hana huruma kwa mke mwenzie hajafanikiwa kupata mtoto ni maumivu tosha bado umrushe roho kweli jamaniiii
Nahisi huyo isihaka alirogwa sio bure
 
Back
Top Bottom