Ndoa ya mkataba ni nzuri sana

Ukiona mwanaume anadai ndoa ya mkataba ujue ni mvulana

Angekuwa anadai labda ndoa zaidi ya mke mmoja ningrmwelewa ila mkataba
Nishamtoa kwenye kundi la wanaume
 
Hapana Mkuu Wazee wetu labda hii ya mkataba wangeiweza na kukaa kwa miaka mingi, lakini hii dunia ya leo baada ya miaka miwili tu kila mtu anashika 50 zake. Fikiria sasa hapo mmejaliwa mtoto/watoto ndiyo yale yale ya single mother/father.

Tena mkataba uwe miaka miwili miwili au mmoja ndoa ikizingua unagoma ku renew kila mtu atambae na hamsini zake hakuna kugandana watoto tutalea juu kwa juu mbele kwa mbele....
 
Ukiona mwanaume anadai ndoa ya mkataba ujue ni mvulana

Angekuwa anadai labda ndoa zaidi ya mke mmoja ningrmwelewa ila mkataba
Nishamtoa kwenye kundi la wanaume[/QUOTE

Mimi siwezi kubishana na maneno ya taarabu au kwenye kanga.. Mimi na badilisha na facts źa research.
 
Bdo sijaingia kwenye ndoa lakini wakati nafanya poverty analysis kwa kumuangalia head of the household... Nimekuta wengi katika kaya ambaya inamzazi mmoja aliyebaki ni mwanamke.. Na reasons za wanaume kutangulia kufa ni sabababu ambazo nimeanisha hapo juu.. Pia watu wanaosema ndoa ni tamu ni couple moja kati ya 200,fanya research...

Mimi siogopi kufa ila sipotayari mtu awe chanzo cha mimi Kutangulia kufa.

Umenena vyema sasa fanyia kazi kilicho moyoni mwako. Kila la kheri kijana, nakutakia mema yote.
 
hii lugha bhana tungekuwa tunaipotezea tu labda mpaka ukiitwa kwenye interview maana unaweza kuwa na point ila michapio inapoteza kabisa
Watanzani ndio watu Duniani wanaokosoa kitu ambacho wao wenyewe hawakifahamu,sasa kama kiswahili tu watu hawazungumzi kwa ufasaha licha Ya lugha za wenzetu, Wamarekani wenyewe hawazungumzi grammatical English,wanaozungumza kwa ufasaha ni waingereza tena sio wote licha Ya mimi Mtanzania, lakini sio kosa lako ungekua na elimu yakutosha usingeconcentrate kwenye hilo bali ungeangali maudhui Ya hoja.
 
elimu ya kutosha ni ipi?? hiyo ndo shida ya watanzania wengi kwani ulivyorekebishwa umeumia?! usitumie lugha kama huijui vizuri!!!
 
Back
Top Bottom