Habari zenu wakuu. Naombeni mawazo yenu nimsaidie dada yangu maana yuko katika wakati mgumu wa kuamua.
Ni dada mwenye miaka 32, mtoto mmoja, elimu ya PHD.
Amekutana na mwanaume, mfanya biashara wa kawaida tu, elimu std 7, anaemzidi kama miaka mitatu.
Wanapendana na mwanaume amepropose anataka wafunge ndoa haraka iwezekanavyo. kinachomtatiza ndugu yangu ni kwamba anawasiwasi kuwa understanding capacity yao inaweza kuja kuwaletea shida huko baadae as wanaume wakioa wanawake wa aina hii kunakuwaga na inferiority complex fulani na mara nyingi hawachukulii vitu vingi kwa namna sawa.
Kuna ambae ana uzoefu na jambo hili na wenye mawazo naomba tumsaidie ndugu yetu.
Natanguliza shukrani