Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
-
- #41
Kama watoto ni WAdogo Acha nyonyo lidondoke wajue NI milky timeππππKhee nikiwa nashughuli na kukimbizana na watoto si nitakuta nyonyo lipo nje jamani ? Ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ndoa sio mpira weweeeSasa kama mavituzi hanipi!!
Amekuwa gogo au tofali af kamchepuko kana vitu balaa kwa nn nisiende kwa kamchepuko nikale vitu vizur mana ata uwanjan mchezaji akichoka anaekwa pemben mwingine anachkua nafas yake
Sent using Jamii Forums mobile app
AbeeeeπUlikuwa Moto enz zetu.. kipind hicho wapo Akina Khantwe Akina Money Penny walikuwa bado ma bikra... Umemuacha tuu Miss Natafuta
Me nasema hivi tendo la ndoa labakia pale paleKwa maneno yako nazidi kuthibitisha kuwa ulokole sio kumjua Mungu zaidi bali ni kuzificha dhambi na kuishi maisha ambayo kiuhalisia sio yako na ndivyo walokole wengi wanavyoishi, bora wewe unaeyaishi haya na umekubali ila wengine wanaficha sana. Najua hainihusu ila walokole wengi wanafake life sana.
Kua na wewe ufaidi bossdah wakubwa wanafaidi sana.
Nenda YouTube channel yangu utayaona mauno yangu πππππMoney Penny sasa sisi tutaamini vipi kwamba wewe kweli fundi...
Weka hata kakideo ya miuno yako...
Cc: mahondaw
wewe umeokoka?Umeongea ukweli dada Lao . Life style ya walokole kwenye mahusiano is so boring
I love Jesus.wewe umeokoka?
una fanya uzinzi na mtu aliye okoka?
umejuaje mapenzi ya walokole?
unakulaga chabo?
kama wenzako wanaridhika kwa hilo wewe ina kuuma nini?
fuata yako walokole wachie na yao, UVCCM sijui mnakwama wapi
We ushagonga walokole wangapπSure..hamna watu wanaogongewa mademu kama hawa wanao weka ulokole sanaaaaaa mpaka kwa bed
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kanisa liseme AMEN πWamepata somo
Mwache bwana aongee anachokijuawewe umeokoka?
una fanya uzinzi na mtu aliye okoka?
umejuaje mapenzi ya walokole?
unakulaga chabo?
kama wenzako wanaridhika kwa hilo wewe ina kuuma nini?
fuata yako walokole wachie na yao, UVCCM sijui mnakwama wapi
Achana nae sie haPa tumekuja kufurahiI love Jesus.
Sorry Mtumishi. Don't take it personal . We are just playing here
Hata Mchungaji Dan Mgogo huwa anaongea vitu Kama hivi.
Sorry Sana bro if Ur offended
πππππππAchana nae sie haPa tumekuja kufurahi
Asituchoshe kama Corona bwana
Upo very wise, kumbe it was kind of joke pia kukumbushia walokole wwakatie viuno waume zao na pia wawape staili zote pamoja na doggy stail na kwamba siyo dhambi so long wame-oana, hapo upo sahihi!I love Jesus.
Sorry Mtumishi. Don't take it personal . We are just playing here
Hata Mchungaji Dan Mgogo huwa anaongea vitu Kama hivi.
Sorry Sana bro if Ur offended
Upo very wise, kumbe it was kind of joke pia kukumbushia walokole wwakatie viuno waume zao na pia wawape staili zote pamoja na doggy stail na kwamba siyo dhambi so long wame-oana, hapo upo sahihi!
WAlokole, hivyo viungo KU na ME mvitumie vyema, pitisha hata masikioni so long as mwenza anaskia raha na kusisimka, vinginevyo angebaki kwa wazazi wake lakini aliona hana mtu wa kumkuna akaja kwako, mambo ya STAILI ZA WAMISHENARI HATUTAKI