Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
-
- #21
Naomba ugeuze haya maneno kuwa tungo ya mziki uje uimbe kanisani kwetu mlima WA Moto 🔥🔥🔥Kwa niaba ya member wenzangu naomba niwawakilishe unipe nafasi ya kuufaidi uwo ukiuno feni mbovu,ili iwe hakikio kwa memba wenzangu kuwa wewe money penny mrembo ulierembuka,ufikapo anga za mahaba ulolokole huutupilia mbali na hutoa ile kitu nafsi na moyo hupenda😜
Ewe mwanamke nipe nafasi hiyo ili nije niuhakikishie na kuuthibitishia Uma wa jamii forum kwa haya uyaandikayo kuwa ni kweli ama watupaka mafuta kwa mgongo wa chupa!....
Siwezi huko nakutaka wewe mwenye upepo wangu wa kisulisuli!Naomba ugeuze haya maneno kuwa tungo ya mziki uje uimbe kanisani kwetu mlima WA Moto 🔥🔥🔥
Ha ha ha naomba picha ya hilo gauni nione,Upo na mkeo nyumbani halafu nguo anazo vaa ni Yale magauni marefu wana yaita " Yesu ni Mwamba"
HELL NOOOOO!!!!
Uzuri wa kuwa na MKE nyumbani awe nusu uchi nusu uchi
Magauni peleka Kwa Baba ako mzazi
Toka pepoUshamba umekujaa Mchungaji
Endelea kuchukua sadaka za bure
Na hii Corona, sijui kama utazoa hata 100
Wanakumisig humu au ndo umli nao unalutupa mkono
Njoo mlima WA moutoooorSiwezi huko nakutaka wewe mwenye upepo wangu wa kisulisuli!
Hilo litakuwa ni thibitisho kwa niaba ya member wote..😁
Ha ha umri bado mambo mamboWanakumisig humu au ndo umli nao unalutupa mkono
Khee nikiwa nashughuli na kukimbizana na watoto si nitakuta nyonyo lipo nje jamani ? Ha ha ha
Kiru
Kuchepuka NI dhambi
Ulikuwa Moto enz zetu.. kipind hicho wapo Akina Khantwe Akina Money Penny walikuwa bado ma bikra... Umemuacha tuu Miss Natafuta
Zamu Yao sasaUlikuwa Moto enz zetu.. kipind hicho wapo Akina Khantwe Akina Money Penny walikuwa bado ma bikra... Umemuacha tuu Miss Natafuta
Kabisa yaani... Enz hzo nyie mwatuandikia wakubwa only! Siye watoto hata hatufungui sikuhizi heshima hakuna
Wallah nimecheka Sana jina la gauniUpo na mkeo nyumbani halafu nguo anazo vaa ni Yale magauni marefu wana yaita " Yesu ni Mwamba"
HELL NOOOOO!!!!
Uzuri wa kuwa na MKE nyumbani awe nusu uchi nusu uchi
Magauni peleka Kwa Baba ako mzazi
Poleni pole pole mtazoeaKabisa yaani... Enz hzo nyie mwatuandikia wakubwa only! Siye watoto hata hatufungui sikuhizi heshima hakuna
Hatari sanaUpo na mkeo nyumbani halafu nguo anazo vaa ni Yale magauni marefu wana yaita " Yesu ni Mwamba"
HELL NOOOOO!!!!
Uzuri wa kuwa na MKE nyumbani awe nusu uchi nusu uchi
Magauni peleka Kwa Baba ako mzazi