Kuna habari ambazo nina wasiwasi nazo ,habari zenyewe ni kuwa Chadema imetumika katika kuiletea ushundi CCM na ni pale Slaa alipopiga U-TURN na kujiingiza katika kinyang'anyiro cha Uraisi ,ikumbukwe kuwa wengi wa wagombea wa vyama vya upinzani walikuwa wameshaamua kutogombea nafasi hiyo ,na wote kuelekeza nguvu zao katika kugombea ubunge.
Hapa tayari Watanzania walikuwa wameshalenga shabaha ya kuiangusha CCM kwa kupeleka nguvu zao kwa Mgombea mmoja tu wa CUF ,Lipumba ,mgombea ambae angeweza kabisa kuilaza CCM kutokana na kura zitakazo miminika kutoka vyama pinzani.
Ingawa wengi hawafahamu kilichomsukuma Slaa kugombea nafasi hiyo ,wenyewe ndani ya Chadema wanadai au yeye mwenyewe Slaa anadai kuwa wamempendekeza, ingawa yeye mwenyewe alikuwa hataki kuingia katika ugombea huo,hizi ni mbinu za kuwateka waTanzania na kuwalaghai kuwa ni mapendekezo ya Chama. Hapa mkae mkielewa kuwa pamechezwa mchezo mkubwa sana na kuwafanya hata wale waliokuwa na msimamo mkali wabaki wakiamini kuwa Chama ndio kimependekeza ,nawaomba mjaribu kuchunguza kwa kina kabisa mtauona ukweli kuwa hapa CCM wametumia karata yao ya kuwa na chama risavu ambacho ni Chadema,huwezi kuamini kirahisi lakini siasa ndivyo zilivyo wanaofahamu ni wachache sana.
Wengi tulishangaa sana na kutaka kujua kilichomsukuma Slaa na sasa imeeleweka kuwa CCM wamemtumia na wameshafanikiwa katika kuwagawa WaTz kwa mara ingine,you must think hard to get the inner core of the Slaa turning factors.
:A S-danger:
Hii ni habari njema kwa CCM pale vyama vya upinzani vinapogawanyika na kukosa umoja na mshikamano.Huu ni ushindi wa mapema kwa CCM. Baada ya uchaguzi watasema CCM imeiba kura kumbe wao wenyewe ndio chanzo cha kushindwa.Kuna habari ambazo nina wasiwasi nazo ,habari zenyewe ni kuwa Chadema imetumika katika kuiletea ushundi CCM na ni pale Slaa alipopiga U-TURN na kujiingiza katika kinyang'anyiro cha Uraisi ,ikumbukwe kuwa wengi wa wagombea wa vyama vya upinzani walikuwa wameshaamua kutogombea nafasi hiyo ,na wote kuelekeza nguvu zao katika kugombea ubunge.
Hapa tayari Watanzania walikuwa wameshalenga shabaha ya kuiangusha CCM kwa kupeleka nguvu zao kwa Mgombea mmoja tu wa CUF ,Lipumba ,mgombea ambae angeweza kabisa kuilaza CCM kutokana na kura zitakazo miminika kutoka vyama pinzani.
Ingawa wengi hawafahamu kilichomsukuma Slaa kugombea nafasi hiyo ,wenyewe ndani ya Chadema wanadai au yeye mwenyewe Slaa anadai kuwa wamempendekeza, ingawa yeye mwenyewe alikuwa hataki kuingia katika ugombea huo,hizi ni mbinu za kuwateka waTanzania na kuwalaghai kuwa ni mapendekezo ya Chama. Hapa mkae mkielewa kuwa pamechezwa mchezo mkubwa sana na kuwafanya hata wale waliokuwa na msimamo mkali wabaki wakiamini kuwa Chama ndio kimependekeza ,nawaomba mjaribu kuchunguza kwa kina kabisa mtauona ukweli kuwa hapa CCM wametumia karata yao ya kuwa na chama risavu ambacho ni Chadema,huwezi kuamini kirahisi lakini siasa ndivyo zilivyo wanaofahamu ni wachache sana.
Wengi tulishangaa sana na kutaka kujua kilichomsukuma Slaa na sasa imeeleweka kuwa CCM wamemtumia na wameshafanikiwa katika kuwagawa WaTz kwa mara ingine,you must think hard to get the inner core of the Slaa turning factors.
:A S-danger:
Mhhh another conspiracies! I beg you to communicate with ur brain before posting rubbishes and worms in the forum!
M
Mbona unakuwa mkali, jibu hoja kwa hoja Pastor, unapoteza uelekeo au ndiyo dalili ya kulemewa
Nadhani umeyasema hayo kwa sababu zako mwenyewe. Usitudanganye tukuamini ili malengo yako yatimie. Unataka kutuambia kuwa wakati anapiga kelele juu ya ufisadi pale bungeni ilikuwa CCM wanacheza karata?Kuna habari ambazo nina wasiwasi nazo ,habari zenyewe ni kuwa Chadema imetumika katika kuiletea ushundi CCM na ni pale Slaa alipopiga U-TURN na kujiingiza katika kinyang'anyiro cha Uraisi ,ikumbukwe kuwa wengi wa wagombea wa vyama vya upinzani walikuwa wameshaamua kutogombea nafasi hiyo ,na wote kuelekeza nguvu zao katika kugombea ubunge.
Hapa tayari Watanzania walikuwa wameshalenga shabaha ya kuiangusha CCM kwa kupeleka nguvu zao kwa Mgombea mmoja tu wa CUF ,Lipumba ,mgombea ambae angeweza kabisa kuilaza CCM kutokana na kura zitakazo miminika kutoka vyama pinzani.
Ingawa wengi hawafahamu kilichomsukuma Slaa kugombea nafasi hiyo ,wenyewe ndani ya Chadema wanadai au yeye mwenyewe Slaa anadai kuwa wamempendekeza, ingawa yeye mwenyewe alikuwa hataki kuingia katika ugombea huo,hizi ni mbinu za kuwateka waTanzania na kuwalaghai kuwa ni mapendekezo ya Chama. Hapa mkae mkielewa kuwa pamechezwa mchezo mkubwa sana na kuwafanya hata wale waliokuwa na msimamo mkali wabaki wakiamini kuwa Chama ndio kimependekeza ,nawaomba mjaribu kuchunguza kwa kina kabisa mtauona ukweli kuwa hapa CCM wametumia karata yao ya kuwa na chama risavu ambacho ni Chadema,huwezi kuamini kirahisi lakini siasa ndivyo zilivyo wanaofahamu ni wachache sana.
Wengi tulishangaa sana na kutaka kujua kilichomsukuma Slaa na sasa imeeleweka kuwa CCM wamemtumia na wameshafanikiwa katika kuwagawa WaTz kwa mara ingine,you must think hard to get the inner core of the Slaa turning factors.
:A S-danger:
mkuu tatizo la upinzani kushindwa haliletwo na slaa pekee... in actual facts, linaletwa na existing system ambayo role inayokuwa played na upinzani ni ndogo mno... kwahiyo kusema ni slaa its a mistake, ni kama kutafuta mchawi tu!!!
one needs to ask, hivi kweli mtu unagombea mpaka watu wanaacha hata kuuliza utatufanyia nini, lakini hukati tamaa?? chadema left z'bar for cuf, but there is not mutual feeling for them in the mainland where prof is getting weaker and weaker
that being said, i still believe hata waungane, with the current set up, ushindi ni ndoto
wajifunze kenya jinsi taifa lilivyopata moto wa maendeleo bada ya kupitisha katiba mpya
hata wachina wa kenya wanamaliza kazi kabla ya muda
Ukiona mtu anatukana bila hoja ni wa kambi ya Dr Slaa.
Habari za kutunga mwenyewe kwa nini uwe na wasiwasi nazo au wasiwasi kuwa zitagundulika kuwa ni za uongo. Kama ulivyoseama wengi mlishangaa kwa ujio wa Dr. Slaa na bado mtazidi kushangaa atakapoanza kampeni stay tuned.
Ukijiibu upuuzi utaonekana na wewe ni mpuuzi! Upuuzi huupuuzwa
Watu kwa kujipa mahope hamjambo haya subirini mkono udondoke
sasa tumepata wapuuzi wawili, Pastor ameongezeka
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa lakini upinzani wange fanya moja, la kupambana kuingiza wabunge wengi kilia wakati wa chaguzi ili kujiengezea nguvu kadri siku zinavyokwenda kwa sababu kuiondoa CCM madarakani siyo kazi ya chaguzi moja, ni mfululilizo wa chaguzi nyingi amabazo upinzani unatakiwa kujiaanda kupata wabunge wengi......
Hata mimi namshangaa pasta kama huna la kusema bora ukae kimya. Hadhi yako mtumishi inatisha.M
Mbona unakuwa mkali, jibu hoja kwa hoja Pastor, unapoteza uelekeo au ndiyo dalili ya kulemewa
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!View attachment 12821