Ndoa ya CCM na CUF ilifanyika lini?



Mkuu nakubaliana na wewe kabisa lakini upinzani wange fanya moja, la kupambana kuingiza wabunge wengi kilia wakati wa chaguzi ili kujiengezea nguvu kadri siku zinavyokwenda kwa sababu kuiondoa CCM madarakani siyo kazi ya chaguzi moja, ni mfululilizo wa chaguzi nyingi amabazo upinzani unatakiwa kujiaanda kupata wabunge wengi......
 
Ukijiibu upuuzi utaonekana na wewe ni mpuuzi! Upuuzi huupuuzwa
True mkuu na maneno ya mpuuzi hujibiwa kipuuzi hakuna haja ya kuumiza kichwa ni kama kumjibu Malaria Sugu wala huhitaji ku google.
 
Katibu wa CUF keshajiunga na ccm chini ya maelekezo ya makamu mwenyekiti wa ccm. Hivyo kinachosubiriwa ni mwenyekiti wa CUF kumfuata katibu wake. Kwani kikao cha siri cha wenyeviti wa ccm na cuf viliisharipotiwa.
Yaani mleta mada anadhani kura laki sita atakazopata Lipumba ndio zingemwingiza ikulu? Acheni utani hebu sote kwa pamoja tuungane kumleta rais mpya ikulu 2010 Dr Slaa!!
 

Hahahahha baeleze baambie hii mitu ya Madrasa sul
 
Unajua, ukitaka kumwua nyoka unampiga kichwani. CCM itasambararika wakishapoteza nguvu ya dola na nguvu ya dola itapotea pale Kikwete
atakaposhindwa katika uchaguzi. Dr Slaa ndiye tumaini pekee la Tanzania tunayoitaka.
 
Wapenzi wa CCM safari hii hadi mnatia huruma tofauti na mwaka 2005, mngekuwa mnajiamini msingekuwa mnakesha kwenye mitandao kama hivi wakati huu mngekuwa mmelala.
 
Itendee nafsi yako haki, ongea nafsi yako inaamini ni kweli. Katika hili nina hakika unajua kuwa umechemsha
kwani wewe umeshaleta mada yeyote toka ujiunge au kazi yako ni kupet pet yaliyoandikwa na wengine.
 
Masikini Mwiba kati ya watu walioumia na ujio wa Slaa ni yeye angalia thread zake anazoanzisha halafu zinakuwa zote za uongo
Originally Posted by Mwiba
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, anayewania ubunge katika Jimbo la Hai, amewekewa pingamizi kwa madai ya kukwepa kulipa kodi ya serikali inayofikia Sh. milioni 48.
 
Ile methali ya kupasuka msamba inaanzaje? Manake naona kuna mtu atapasuka msamba hivi karibuni!
 
Originally Posted by Mwiba
Threat started by Mwiba wote ni maimam wa misikiti Awadh fulani.....Shehe ......bila title hizo hugombei kaaazi kweli kweli.



​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…