Ndoa ya CCM na CUF ilifanyika lini?

Je yanahusu:

1. Mahakama ya kadhi?
2. Kuingiza Tanzania kwenye nchi za kiislam?
3. Kuvunja muungano?
4. Kusaidiana ili kuimaliza CHADEMA
5. Mengine zaidi yanakuja ......kama hii thread itaachwa hapa na mods
 
Ile no. 4 watazama majini wenyewe. Hawatafanikiwa.
 
Inamaana hiyo picha hapo juu ndio wanakubaliana hayo MAKUBALIANO YA SIRI???
maana sipati picha!!
 
Mhhh!! Mengi tutayasikia hapa ......
 
Naogopa kuandika na kuweka ushahidi zaidi wa makubaliano yao kwenye kikao cha siri maana MOD watafuta!
 
Mdondoaji,

Wao kina Lipumba na KIkwete hawaoni kama ni udini. Wanaona kama wanaisaidia nchi.

Mwafrika na Rev Masanilo kama hamna udini tupeni evidence ya makubaliano baina ya Kikwete na Lipumba? Kama Game Theory alivyoleta makubaliano ya kanisa na serikali tukajua hoja iko wapi na sio kutoa picha za watu waliovaa kanzu zao kwenda kwenye sherehe huo ni ubaguzi na udini mtupu na mnalipeleka taifa sipo sorry siko na nyie.
 
Baada ya kuona makubaliano ya siri kadha wa kadha, moto ya kampeni yetu kwa ajili ya Taifa letu iwe '' Keep quiet, Tell a friend, Vote for Slaa''
 

Mkuu si suala la udini na sisi hatuko huko (simsemaji wa Mwafrika) hii issue ni kubwa si nyepesi kwa ustawi na maendeleo ya nchi yetu. Tutaweka hapa hold on wakati muafaka. Soma maneno yangu
 

Hii thread inaendelea (pending actions za mods).

Bado kuna wasiwasi kuwa mods wataifuta hii thread muda sio mrefu. Alicholeta GT hapa hayakuwa makubaliano ya siri. Alileta kitu ambacho kilikuwa kinajulikana.

So far, hii ni top secret inakuja kwa kudondoka dondoka.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…