Sio kitandani tuu my dear.. mwanamke anapenda attention kuwa complimented anapendwa kupendwa. ninamaanisha yale anatokufanyia, majina mazuri anayokuita nawe uwe unamwita na kumfanyia pia. once in a while umpe vizawadi show that you appreciate what she is doing for u...
mpende mkeo kwa kuonyesha sio kusema tuu action F
mkuu hamna jinsi..nimeona niowe tu..liwalo na liwe.
Jamani nilisahau kuwaambia nilioa mwezi wa kumi na mbili. Nimeona nitulie tu maana hizi papuchi haziishi utamu kadri unavozila ndio unapata hamu zaidi.
Sasa najiuliza ni mwanzo tu au nitegemee suprice uko mbeleni maana hubby umeshakula.Hubby chakula tayari na hilo neno hubby mpaka nilizoee. Ngoja tuone.
hongera benteke kati ya wale wadada ni yupi umemchukua jumla?
Hakuna perfect happiness duniani. Mwezi ujao tu utaanza kununiwa na kusonywa. Na omba Mjngu usichapiwe pia. Hutaamini kuwa ni yule yule aliyekwambia hawezi kuishi bila wewe. Women.... ni zaidi ya uwajuavyo.
Hakuna raha kama kulala kila siku usiku na mume,yaan kugeuzwa fasta halaf vitu vya motoo miili inachemka duuu, siri yangu benteke hongera
Wee acha tu Dinazarde kwanza hasante sana. Kumiliki mke ni raha sana. Saaingine mnapigastory kitandani alafu ghafla mnajikuta mna gegedana...its amazing experience.
kua uyaone ,naomba kila mwaka mwezi kma huu tuletee annual ripoti,kama haujajaza server ya JF kwa malalamiko suburi ndoa ikishajibu utaanza kuitwa baba fulani,baada ya muda utaitwa mume wangu,then utaitwa kwa jina lako halisi baada ya muda utaitwa majina ya madikteta wote kama hitler,sadam au cha wivu chapombe cha ugomvi sijui kimeo nk now ni kipwa kinyemiJamani nilisahau kuwaambia nilioa mwezi wa kumi na mbili. Nimeona nitulie tu maana hizi papuchi haziishi utamu kadri unavozila ndio unapata hamu zaidi.
Sasa najiuliza ni mwanzo tu au nitegemee suprice uko mbeleni maana hubby umeshakula.Hubby chakula tayari na hilo neno hubby mpaka nilizoee. Ngoja tuone.