mshana inatosha jamani..tumeshajua nyie ndo new couples in town
umeona eeh,bs wengne tusinywe maji!
mshana inatosha jamani..tumeshajua nyie ndo new couples in town
Yani ndo naamka, niko dining room na kilichoandaliwa sijui ni niite breakfast au lunch maana meza imesheheni mapochopocho ,hakika my heart beat A.N knows for sure how to do it and when..!!
Special invitation kwa Judgement tu wengine subirini
Yani imekua taabu jaman..hata wakioga watatupa updates
Ndy kusema waliyosema "kipya kinyemi" hawakufikiri vya kutosha?