Ndoa siyo muhimu

Ndoa siyo muhimu

Wakuu habari
Kuna malalamiko mengi kuhusu watu kuteseka katika ndoa zao
Kwa kweli mimi naona ndoa ni muhimu kwa wanaume wasiokuwa na pesa, kwani ni njia rahisi ya kujipatia unyumba ila ndiyo uvumilie
Kwa wenye pesa sielewi ni kwanini ufuge ng'ombe kwa ajili ya maziwa uteseke kumchunga na usumbufu kibao wakati unaweza kununua maziwa kila siku kwa matumizi yako, na mapenzi yananoga sana kila ukimpata mapenzi mpya.

Ndoa si lazima bt pia hutakiwi kua na mawazo negative kama haya....
 
Back
Top Bottom