Earthworker
Member
- Jul 15, 2011
- 83
- 30
Asiharakoe maisha kiu ya ndoa anakuta amedondokea ambapo sipoAkichelewa mnasema manungayembe asije kuchelewa akakuta mwana sio wake
Siku hizi huwezi kujua unadondokea wapi kama unacheza kamariAsiharakoe maisha kiu ya ndoa anakuta amedondokea ambapo sipo
Usijipige pini mdogo wanguMimi ndio hata mpango wa kuoa sifikirii kwa sasa aiseee
Usijipige pini mdogo wangu
Kumbe ulikua na mahusiano ya haramu tangu mwanzo. Sishangai kusikia hutaoa hivi karibuni.Sio kama anajipiga pini...nilikuwa nimepanga kuoa mwaka huu lakini kutokana na mambo mambo nimejipa likizo kidogo kujitafakari nikiwa mbali na mahusiano huku nikiendelea na maisha...nashukuru nimejua mapema maana ingekuwa majanga
Kumbe ulikua na mahusiano ya haramu tangu mwanzo. Sishangai kusikia hutaoa hivi karibuni.
Kumbe ulikua na mahusiano ya haramu tangu mwanzo. Sishangai kusikia hutaoa hivi karibuni.
Mimi ndio hata mpango wa kuoa sifikirii kwa sasa aiseee
Katika maisha yangu,huwa nawakubali sana waislam kwenye masuala ya ndoa wao ndoa zao ni very simple na mkishindwana kila mtu anachukua Ustaarabu wake na maisha yanaendelea siyo hizi za kikristo ukikosea Kuoa ndio kwisha habari yako ukiwafuata mapadre,maaskofu,wachungaji,nk watakuambia sisi huwa tunafunga tu lakini hatutenganishi,lijitu linakukera huko ndani mpaka basi mwishowe ata kama ilikuea ufe kesho kutwa utakufa leo,ntabadili dini soon
Kwani ndoa ina umuhimu gani? Wakiwahi au wakichelewaHapa nazungumzia wenzangu na mimi hasa mabinti hawa wanatabia ya kuharakia mambo!
Huwaga wanajihisi wamechelewa kisa kuona wenzao wapo ndani ya ndoa wanasahau kuwa ndoa mengi wanaanza kutupa kazi ya kusuluhisha migogoro!
may be wanapagawa na maisha ya ndoa ya kwenye muvi!
Usioe kabisa mkuu,ndoa haina faida yoyote.Sio kama anajipiga pini...nilikuwa nimepanga kuoa mwaka huu lakini kutokana na mambo mambo nimejipa likizo kidogo kujitafakari nikiwa mbali na mahusiano huku nikiendelea na maisha...nashukuru nimejua mapema maana ingekuwa majanga
Sioi leo sio kesho, bado kidogoWewe umeoa???