Ndoa sio lelemama

Ndoa nivile mnataka iwe usiige kila kitu ishi mnavyo taka sio wanavyotaka
 

Kweli lar, ndoa haina formula my dear.
 
Kuishi kwa kumfurahisha mwenzio na si nafsi yako(unafiki) kama kakosa yeye wewe ndo uombe msamaha ili kuepusha ugomvi, kwenye ndoa mkitaka kwenda sawa jipangeni kugombana kila siku
 
kama ndoa sio lelemama itakua lelebaba
 
Ndoa ina yote raha, karaha, huzuni, furaha, utamu, uchungu, amani, usaliti na mengineyo usiexpect raha tu,jipange ndo maana hata refa anaingia uwanjani na red card.

Ndoa haina tatizo wenye ndoa ndo tatizo.
Neno Ndoa ondoa N linakuwa Doa ukiondoa D linakuwa Oa (kuoa kuna tafsiri nyingi hiyo michepuko, vimada n.k) ukiondoa O inabaki Ahhh watu wanaeashanga.
Hivyo ndoa si tatizo tatizo ni pale tunapoanza kubandua matofali yanayoifanya ndoa.
 
Ndoa ina yote raha, karaha, huzuni, furaha, utamu, uchungu, amani, usaliti na mengineyo usiexpect raha tu,jipange ndo maana hata refa anaingia uwanjani na red card.
Hili nalo neno... wanasema mvuvi haogopi mawimbi ndugu yangu, kuna siku bahari huwa shwari na kuna siku inachafuka
 
Ndoa ni raha sana lakini si lelemama wewe kama unapenda lelemama jiwe pembeni tuachie sisi tule mema ya nchi.
 
Ndoa ina yote raha, karaha, huzuni, furaha, utamu, uchungu, amani, usaliti na mengineyo usiexpect raha tu,jipange ndo maana hata refa anaingia uwanjani na red card.

"Nimependa hapo uliposema ndo mana refa anaingia uwanjani na red card".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…