tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,532
- 1,484
sasa kuna wengine kila akitupa anapata chura magamba....nimeipenda sana hiyo
Ili uinjoi katika ndoa ni lazima mmoja awe bendera mwingine awe upepo. Sasa wewe mwenzetu ni nani?Endelea kuwa bachelor.......wachache tuinjoi kwenye ndoa!
Hizo mbona kama unaongea theory na sio uhalisia
porojo
Ili uinjoi katika ndoa ni lazima mmoja awe bendera mwingine awe upepo. Sasa wewe mwenzetu ni nani?