Ndoa si mchezo!

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,581
1,069
Hawa mabwana harusi sijui wanawaza nini?
 

Attachments

  • Ndoa-Ndoana.jpg
    Ndoa-Ndoana.jpg
    21.4 KB · Views: 154
inaonekana "mabwana harusi wote wamechoka" - inabidi sherehe za harusi zisiwe too hectic - tusitake makubwa jamani - sherehe kubwa sio kigezo kuwa ndoa itakuwa ya amani
wanasema waingereza "cut your coat to the size of your cloth"
 
Back
Top Bottom