Ndoa si lazima wakuu....

Ndoa si lazima wakuu....

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
520
Salam,
Nimesukumwa kuandika hii post baada ya kusoma matukio kadhaa ya watu walio kwenye ndoa wakielezea majuto na shida wanazopata ahahhahaha.Wengine wamefikia hatua ya kutafuta wanaume au wake wa kizungu..au race nyingine ila huko ndo hali inakua mbaya zaidi..Ningependa kuwakumbuusha ndugu zangu wana JF...NDOA SIO LAZIMA JAMANI.HAKUNA MAHALI IMEANDIKWA KUWA LAZIMA KUOANA.so, be happy with what you are doin and live your life...you only live once friends ahahahha
Welcome to Our Single Community Forum www.singleshelp.org ahhhaha huku tunapeana hopes and how to enjoy life...hamna stories za cheating..ohh! mara ameninyima sex...mara nanii yangu ndogo etc.
 
Jipe tuu matumaini na huo usingle wako ila ndoa ipo pale pale na mkuu nipende kukuambia kitu kimoja muhimu sana.
Usisikilize fulani ndoa yake ina sijui matatizo gani sijui wamepigana sijui wamenyimana mahaba sijui wanacheat kila mmoja kwake
Ndoa ni wewe na mwenza wako na ukitaka uishi maisha mazuri ya ndoa usijifananishe na fulani au usiifanye ndoa yako ifanane na fulani au uwe kama fulani au umpate perfect woman like your own mother hakuna kitu kama hicho
Naona unajipa matumaini na kusifia blog yako maana hata uwe single kwa muda mrefu kama nini mwili wako bado unahitaji mwenza wa jinsia tofauti
 
Salam,
Nimesukumwa kuandika hii post baada ya kusoma matukio kadhaa ya watu walio kwenye ndoa wakielezea majuto na shida wanazopataahahhahaha.Wengine wamefikia hatua ya kutafuta wanaume au wake wa kizungu..au race nyingine ila huko ndo hali inakua mbaya zaidi..Ningependa kuwakumbuusha ndugu zangu wana JF...NDOA SIO LAZIMA JAMANI.HAKUNA MAHALI IMEANDIKWA KUWA LAZIMA KUOANA.so, be happy with what you are doin and live your life...you only live once friends ahahahha
Welcome to Our Single Community Forum www.singleshelp.org ahhhaha huku tunapeana hopes and how to enjoy life...hamna stories za cheating..ohh! mara ameninyima sex...mara nanii yangu ndogo etc.
Rafiki uckaze saaana... Legeza bhana
 
Salam,
Nimesukumwa kuandika hii post baada ya kusoma matukio kadhaa ya watu walio kwenye ndoa wakielezea majuto na shida wanazopata ahahhahaha.Wengine wamefikia hatua ya kutafuta wanaume au wake wa kizungu..au race nyingine ila huko ndo hali inakua mbaya zaidi..Ningependa kuwakumbuusha ndugu zangu wana JF...NDOA SIO LAZIMA JAMANI.HAKUNA MAHALI IMEANDIKWA KUWA LAZIMA KUOANA.so, be happy with what you are doin and live your life...you only live once friends ahahahha
Welcome to Our Single Community Forum www.singleshelp.org ahhhaha huku tunapeana hopes and how to enjoy life...hamna stories za cheating..ohh! mara ameninyima sex...mara nanii yangu ndogo etc.
daaah hizi habari mie hazinitishi..sasa umefanikiwa almost kila kitu(scenario) tu hiyo why ukae mwenyewe tu enh? me ntaoa tu hata kama watu wanapata matatizo challenge nilizopitia siwezi shindwa ndoa aisee( thats what i see now ingawa direction sina) principle ni kuridhika tu aisee...kuna mtoto nikimpata me najua pale nimefika natua mabegi yangu yooote aiseee daaahh aiseee..mkuu itakua hujapata kumpenda mtu wewe...!!! mtazamo wangu huu tu...
 
hebu fkr watu wot dunian wasngefunga ndoa na wangkuw na mawazo km ya kwako dunia ingekuwaje...sio kila kitu ambch hukpend ni kbaya
 
Pole inaonekana utazini through out of your life.kila mmoja ana chaguo la mfumo wake wa maisha.Mungu aliyeweka ndoa c mjinga lakini amekupa chaguzi mbili ''UZIMA WA MILELE AU MAUTI''LUKA 16:16-25.
 
Kabla ya kuanza mjadala, let me get my inner Socrates out.

Ndoa ni nini kwanza?

Lazima tuelewane, isijekuwa wengine wanazungumzia utumwa wa Sudan na misukule ya Gambosh inaitwa ndoa, na wengine wanazungumzia business contracts under Bahamian jurisprudence zinaitwa jina hilohilo la ndoa.
 
Kumbe watu wakishindwa mitihani ya masomo sisi tusiosoma tusijiunge na masomo?
 
^^
Kukataa ndoa kwa sababu tu unaogopa matatizo ya ndoa ni dalili nzuri kuwa bado hujafikia ukomavu wa kiakili na kimaisha.
^^
 
Rafiki uckaze saaana... Legeza bhana

ahahhaha :dance:si unajua mi nasemaga ukweli best....kwani we hizi stori za kufumaniana na malamiko ya baadhi ya wanandoa hazijakuchosha?
 
the captivity of negativity...[/QUOTE
Unajua hapa ndo kuna tatizo hasa...most of you guys nadhani mko kwenye mental slavery bado ndo maana ukiona mtu ana think freely unasema captivity of negativity....for your info. i'm not having any form of depression and i really like myself as i'm and ni baada ya kufikiria kwa kina nikagundua hili swala.
 
the captivity of negativity...[/QUOTE
Unajua hapa ndo kuna tatizo hasa...most of you guys nadhani mko kwenye mental slavery bado ndo maana ukiona mtu ana think freely...

What is freely thinking?

Have you ever thought the purpose of you being a male or female?

By the way, what is marriage?
 
daaah hizi habari mie hazinitishi..sasa umefanikiwa almost kila kitu(scenario) tu hiyo why ukae mwenyewe tu enh? me ntaoa tu hata kama watu wanapata matatizo challenge nilizopitia siwezi shindwa ndoa aisee( thats what i see now ingawa direction sina) principle ni kuridhika tu aisee...kuna mtoto nikimpata me najua pale nimefika natua mabegi yangu yooote aiseee daaahh aiseee..mkuu itakua hujapata kumpenda mtu wewe...!!! mtazamo wangu huu tu...

ahahhaha mi sijasema nakaa mwenyewe man..nakaa na ndugu zangu..infact..my house ni free for anyone to come and sleep over ahahah tuko wengi ile mbaya.sister. watoto wake..na wengine wa adoption..asubuhi tunaamka na kengele. afu umeniacha hoi hapo kwenye blue selection.....MANDELA ALIKAA JELA MIAKA 27 AKIVUMILIA MATESO NA KAZI NGUMU ALIPOTOKA JELA AKARUDI KWENYE NDOA YAKE BAADA YA MIEZI 6 AKANYOOSHA MIKONO..HEEEEEELP DIVORCE PLEASE :A S-confused1:ahahahhahaa😛ound:. Best Wishes man.
 
Salam,
Nimesukumwa kuandika hii post baada ya kusoma matukio kadhaa ya watu walio kwenye ndoa wakielezea majuto na shida wanazopata ahahhahaha.Wengine wamefikia hatua ya kutafuta wanaume au wake wa kizungu..au race nyingine ila huko ndo hali inakua mbaya zaidi..Ningependa kuwakumbuusha ndugu zangu wana JF...NDOA SIO LAZIMA JAMANI.HAKUNA MAHALI IMEANDIKWA KUWA LAZIMA KUOANA.so, be happy with what you are doin and live your life...you only live once friends ahahahha
Welcome to Our Single Community Forum www.singleshelp.org ahhhaha huku tunapeana hopes and how to enjoy life...hamna stories za cheating..ohh! mara ameninyima sex...mara nanii yangu ndogo etc.
Nakuwa na wasiwasi.....
 
Pole inaonekana utazini through out of your life.kila mmoja ana chaguo la mfumo wake wa maisha.Mungu aliyeweka ndoa c mjinga lakini amekupa chaguzi mbili ''UZIMA WA MILELE AU MAUTI''LUKA 16:16-25.

ahhaha haya...angalia:

1kor 7:1 - Ni VEMA mwanaume asimguse mwanamke
1Kor 7:8- Laiti watu wote wangekuwa kama mimi nilivyo (yani paulo ambaye alikuwa solo) lakini kila
mtu kapewa kipawa chake na Mungu.kwa wale wasio oa na wajane ingekuwa vizuri wabaki kama
mimi nilivyo

Anarudia tena 1Kor 7:25..28,38 - Basi, kuhusu wale walio bikira, mimi sina amri kutoka kwa Bwana, lakini mimi natoa shauri kama mtu ambaye ni mwaminifu kwa rehema za Bwana. Kwa sababu ya shida iliyoko, naona ni vema mkibaki kama mlivyo....Lakini wale walio oa watakabiliana na matatizo mengi katika maisha na mimi nataka kuwazuiliya hayo"...Basi Mwanaume anaemwoa huyo mwanamwali afanya vema ila asiemuoa afanya vema zaidi"

Mathayo 19:10..12 - Wanafunzi wake wakamwambia, "Kama hali ndiyo hii kati ya mume na mke, ni afadhali mtu asioe!'' Yesu akawaambia, '‘Si watu wote wanaoweza kupokea neno hili, isipokuwa wale tu waliojaliwa na Mungu Kwa maana wengine ni matoashi kwa sababu wamezaliwa hivyo, wengine wamefanywamatoashi na wanadamu na wengine wamejifanya matoashi kwa ajili ya Ufalme wa Mbinguni. Yeye awezaye kulipokea. neno hili na alipokee.''

Si unaona mkuu nimekwambia...
 
Back
Top Bottom