Ndoa si lazima wakuu....

Ndoa si lazima wakuu....

hebu fkr watu wot dunian wasngefunga ndoa na wangkuw na mawazo km ya kwako dunia ingekuwaje...sio kila kitu ambch hukpend ni kbaya

Jamaa yangu tunakuelewa kwa tabu kiasi ujumbe na ushauri wako unapoteza maana...Andika maneno kamili mkuu.
 
ahahhaha mi sijasema nakaa mwenyewe man..nakaa na ndugu zangu..infact..my house ni free for anyone to come and sleep over ahahah tuko wengi ile mbaya.sister. watoto wake..na wengine wa adoption..asubuhi tunaamka na kengele. afu umeniacha hoi hapo kwenye blue selection.....MANDELA ALIKAA JELA MIAKA 27 AKIVUMILIA MATESO NA KAZI NGUMU ALIPOTOKA JELA AKARUDI KWENYE NDOA YAKE BAADA YA MIEZI 6 AKANYOOSHA MIKONO..HEEEEEELP DIVORCE PLEASE :A S-confused1:ahahahhahaa😛ound:. Best Wishes man.
hahahaha mandela mim nilivyosikia ni kwamba wale makaburu walim-hasi huko gerezani kwaio sasa si tayari alikua na mapungufu...lazima ashindwe hapo..kwa kweli daaah mpo wengi kinoooma..aisee..ila still i pray and hope for the best me najua kuna kifaa nacho kinawaza hivyo hivyo tu(praying and hoping for the best) halafu naamini mtampata tu...unachosema wewe inafanana na hivi..mfano form 4 2012 wamefeli wengi sana je watu wataacha kusoma sababu hiyo?
 
Kuoa/kuolewa ni maamuzi ya mtu tena yapo kibinafsi zaidi hivyo kama umeamua hutooa ni maamuzi binafsi na huitaji kuwa na wafuasi kwani kila binadamu anaongozwa na utashi wake. Nisiishie bila kukupa hongera kwa maisha uliyoamua kuyaishi kama ambavyo ningefanya kwa aliyeamua kuoa/kuolewa.
 
maisha ya ndoa ndio maisha, wewe jipe imani tu na uoga wako!
 
maisha ya ndoa ndio maisha, wewe jipe imani tu na uoga wako!

Hii ni kwa wasioelewa Ndoa.
Capture1.JPG

na hii ndo sign yake ahahahha hicho ni ki ATM card anampa. Kama unabisha andika kwenye google "international symbol for marriage"

ISymbol.JPG
 
Kama wewe ni towashi uko sawa maana Paulo yeye alikuwa towash na ndio maana aliweza.Pole
 
habari njema ni kwamba ndoa nzuri na za kufurahisha zipo. ya kwangu ni mojawapo!na yako pia yaweza kuwa nzuri, so usiopgope.
 
Back
Top Bottom