Ndoa si kitu cha mchezo mchezo

Kuna ndoa zinavunjika kisa show mbovu kitandani,upishi mbovu nk[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kama issue ni kupika kwanini msifundishane???
Kwanini kusiwe na uwazi baina ya wanandoa?
"Mume/ mke wangu eeh kusema kweli siku hizi naona majukumu yanakuzidia unachoka sana" sifurahii kama mwanzo..Ukimfahamisha ataelewa na ataziba ufa mapema kabla mmoja wenu hajaanza kukitembeza nje..Kuwe na uwazi kabisa msifichane fichane..Lakini kumbuka kutumia kauli yenye busara ktk kufikisha ujumbe..Usimsononeshe mwenzio.

*Kila mtu ni mwanafunzi kwa mwenzie*
<<FUNDISHIKA>>
 
Tofauti ni kwamba upendo wa kuigiza huwa haudumu. Na maajab ni kwamba ndani ya mwaka au miezi sita upendo fake huyumba kabisa.. there is no hiding
yawezekana miezi 6 ikawa mingi sana.... akishajua hali halisi ikizingatia vijana wa kisasa wengi waongo waongo, ambao unasababishwa na wanawake vijana, basi inakuwa shida sana....
 
Unafunga ndoa unapewa vyeti kwanza mitihani inakuja baadae
Usioe/usiolewe kufurahisha watu
 
Hii comment umeiandika ukiwa HIGH????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji108][emoji108][emoji108]
 
Mtoa mada hata hayuko kwenye ndoa, na ni single mother, lakini yeye ndo anaisemea ndoa. Hana tofauti na makungwi....wanafunda ndoa lakini wao ziliwashinda. Unafiki mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…