maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,806
- 2,349
nakuambia ndoa ni raha sana asikuambie MTU Mimi Nina mwaka wa kumi na moja kwenye ndoa lakini furaha yetu ni kama siku ile ya kwanza full utani na kupendana sana. Siri ni moja tu kushika dini yenu au imani yenu kwa mungu na kuwa waaminfu kila kitu kitakuwa safi.