Labda hili nikusaidie kulijibu kwa misingi ya kitanzania ninayoijua mimi.Ndoa ni makubaliano ya watu wawili wenye jinsia tofauti na pande zote zinaridhia kwa hiari makubaliano hayo ya kua mume na mke.Sasa ndg yetu ulioko huko ughaibuni,kama umekwisha kubaliana na huyo mwanamke kabla ya kufunga ndoa na mkaridhiana na siku ya ndoa haukuweza kuhudhuria misa ukawakilishwa na mdogo wako then marriage can exist under this circumstances.
Sasa sielewi wewe uko upande upi,au humuoni kwa misingi ipi?Hujawahi kuchungulia mlango hata siku moja?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.