Ndoa nyingine wanaishi kama 'hostel'

Ndoa nyingine wanaishi kama 'hostel'

mama watoto tatizo ni nn? mbona wakati ukiwa chuo ulikuwa unatoka na wazee? sasa nimekuoa hutaki vitoto vya chuo navyo vifaidi chipsi kutoka kwangu? sauti ilisikika kutoka ndani!!!!! nikakumbuka kuwa kumbe ndoa za siku hizi ni kulipiziana tu! huyo nikaendelea kuangalia jinsi nundu la mke wangu lilivyoshiba huku nikiwaza jinsi ninavyokula vitu vizuri ilihali sina ajira namtegemea mke wangu,!!!! by the way ndoa ziliisha tangu karne ya 19
 
Kuna uzi niliuleta hapa, mtoto wa shost alikutana na boyfriend chuo kikuu, akawa mchumba hatimae mume. Wameanza maisha, baada ya kujifungua ndiyo kijana aliisoma number. Mke analoweka nappy za mtoto mpaka mume atoke kazini afue na kupika. Kijana alipopata upenyo wa kusepa hakugeuka nyuma.
Yaani kiukweli wanawake wanafanya maisha ya kimahusiano yanakuwa magumu hafu wao ndio wa kwanza kukesha katika mihadhara na maombi eti mungu mbadilishe mpenzi wangu awe kama zamani bila wao kuangalia wamechangia kiasi gani mabadiliko mapya.

At times being single is better than being in a relationship
 
Good communication can help to solve things up, ndiyo maana wakati mwingine inashauriwa kuchukua weekend break away, mnaacha majukumu ya kazi na watoto, kila mtu amweleze mwenzie maumivu anayoyasikia kutokana na mabadiliko.

Usitegemee kuolewa na mlevi ukidhani utambadilisha au kuoa mwanamke mwenye tamaa, kila hand bag inayoingia anaitaka yeye, gari zuri anataka yeye.
 
Utakuta vijana wanasheherekea mwaka mmoja wa ndoa....! Inasikitisha
wengine hata huo mmoja hawafikishi,wanasherekea kwa kuwa hata wao hawajaamini hivi kweli wamafikisha siku 360,zamani walikuwa wanasherekae wakifika saaan 50,nowdeiz hata huo mmoja ni suprise
 
wengine hata huo mmoja hawafikishi,wanasherekea kwa kuwa hata wao hawajaamini hivi kweli wamafikisha siku 360,zamani walikuwa wanasherekae wakifika saaan 50,nowdeiz hata huo mmoja ni suprise
Kabisa....!
 
Back
Top Bottom