indelible
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 652
- 301
- Thread starter
- #21
Kabla hatujatoka nje ya mada nachozungumzia ndoa ni utamaduni nadhani mpaka hapo tunaelewana!
Sheria zetu hasa ile ya ndoa ya 1977 nayo bado iliendelea kuegemea kwenye traditionl culture tuna vitu ambavyo hata kama tutaiga umagharibi hatuwezi vipindisha it's norms... mfano: mwanaume haolewi anaoa na ndio mtoa talaka. Hii ina maana gani? Yeye ndio kichwa cha ndoa. Ikitokea akawa Mario ni kosa la kimfumo kichwani mwake.
Kuhusu mimba sikatai ukipiga match tarajia lolote.. lakini hapa ni kwamba we had Let's say two years preventing that pregnancy through natural n artificial methods weka mbali hiyo ya ufungaji!
Then ukaamua tu kwamba nashika ujauzito bila kumshirikisha mwenzio unategemea nini kama sio kuunda mtafaruku?

Mwanamke anapata mimba mda wowote provided the right conditions ( maturity, egg, sperm, balanced hormones) utamlaumuje kwamba kaamua... Wewe si ungetumia condom au ufanye vasectomy basi kama unataka kujihakikishia hazai.
Mwili wa mwanamke huweza kupata mabadiliko ya vichocheo muda wowote kutokana na stress, mazingira na lishe hivyo unapolala na mwanamke hesabu mtoto maana anaweza kutokea hata nje ya hesabu ya siku za hatari zilizo-zoeleka.