Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

Pole sana mkuu Huyo ana spiritual husband
Muulize kama akilala huota kalala na mwanamme na si wewe. Zaidi omba sana hilo pepo ni baya kazi yake ni kuvuruga ndoa na usimame imara laweza kukutoa roho yako ndugu
 
anaelalama ni mwanaume
 
Asante
Umenifurahisha Sana.
 
Pole sana mkuu Huyo ana spiritual husband
Muulize kama akilala huota kalala na mwanamme na si wewe. Zaidi omba sana hilo pepo ni baya kazi yake ni kuvuruga ndoa na usimame imara laweza kukutoa roho yako ndugu

Exatily
Huyo ni spiritual husband, ndo maana ndoa yake ya 1ilivunjika
 
lazimieshe kufanya tendo la ndoa, alafu majadiliano yako mengi naye yafanye wakati mnafanya tendo yaani umemzamishia na kukata kiuno kama mra sita hivi ndio ustop huku umemzamishia ujadiline naye mambo mengine ya kifamilia
 
Nakuona mtumishi umekata tamaa kama elia chini ya mletemu,simama ule safari bado ni ndefu Bwana at atakutia nguvu,usilie OMBA.
 
Hii nimeipenda sana 👍...
 
Tuko wengi kama wewe cha msingi angalia watoto,kile kitu ukipendacho komaa nayo na wala isiigize maisha mambo ya kucare sana mimi yananiboa sana hivyo sihitaji mtu aoneshe ananijali sana
 
Naona maoni mengi yamekaa kilokole lokole anyway ushauri wangu ni kuwa huyo mwanamke anakupuuza kutokana na upole na unyenyekevu wako kwake na anajua huwezi kumuacha hivo pole kwa hilo anza kumbadilikia mean uwe mkatili usi care sana na kwa vile ni wako ata kipigo kihusike ili kurudisha heshima ndani ya nyumba ....another issue tatizo lenu walokole mambo yote mnaendesha kilokole mpaka sex issue pia then huwa mnakosea aina ya ladies wa kuoa ...pole mkuuu
 
ushauri hatariii na wa ukweli
 
Kaka mpaka mtu anamuacha mtu/mke ujue kuna kitu kaona, sasa wewe umeingia kichwa kichwa hacha upokee za uso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…