Ndoa ni paradiso ndogo

Ndoa ni paradiso ndogo

BAK. Nimekuelewa hoja yako, ila kwa kiasi kikubwa chanzo huenda ikawa ni wanaume. Nikioa mke akanifanyia hayo, pamoja na fadhila zote nitakazomfanyia, basi huyo atakuwa sio mke ni zimwi, nitakubali kwamba niliingia chaka.
BAK Lady doctor kuna dada jirani yangu hapa ananiita, analalamika, anasema naombe uje kunishauri shemeji yako amezidi. Naenda kumsikiliza, kwa kuny'ata lakini.

Simplicity, ngoja nije nione nitamshauri vipi, maana mashemeji wasikuhizi hawajambo!
 
Last edited by a moderator:
Sawa Mkuu Simplicity hapo kwa kiasi kikubwa unaweza kuombwa ushahidi lol! si unaijua JF? Angalia shemeji asije kustukia minyato yako kwa huyo dada lol! 🙂🙂

Nimestuka sikwenda mkuu, nimemwambia hata kama tupo majirani anipigie simu tujadili tatizo lake.

Kuhusu hili swala la ndoa ngoja tusikie Smile anasemaje na Evelyn Salt, kuna watoto wengine ukiwaita hapa watoe xperience wataangua kilio bora niishie na hawa wawili.
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi chale zimekucheza 🙂🙂 bora...maana unaweza kudhani unafanya minyato hakuna anayekuona kumbe mwenye mali zake anakuchora tu.

Nimestuka sikwenda mkuu, nimemwambia hata kama tupo majirani anipigie simu tujadili tatizo lake.

Kuhusu hili swala la ndoa ngoja tusikie Smile anasemaje na Evelyn Salt, kuna watoto wengine ukiwaita hapa watoe xperience wataangua kilio bora niishie na hawa wawili.
 
Nimestuka sikwenda mkuu, nimemwambia hata kama tupo majirani anipigie simu tujadili tatizo lake.

Kuhusu hili swala la ndoa ngoja tusikie Smile anasemaje na Evelyn Salt, kuna watoto wengine ukiwaita hapa watoe xperience wataangua kilio bora niishie na hawa wawili.

dah! sa mbona mi mwenywe ni walele wa kuangua kilio???
 
Back
Top Bottom