Zyamwelele
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 405
- 155
Makusudi ya Mungu nikuifanya ndoa iwe paradiso ndogo' kwawanandoa mnatimiza agizo la Mungu? au ndoa ndoano?
wewe umeoa? nijibu kwanza ndo name nikujibu?
Paradiso ndogo!! Mbado kuelewa!!
sehem iliyojaa amani na vicheko' watu wanafurahi tu!!! hapo mbado tu?
sehem iliyojaa amani na vicheko' watu wanafurahi tu!!! hapo mbado tu?
Mimi na-enjoy sana maisha ya ndoa, nikisikia kwamba kuna watu ndoa zao zina matatizo huwa namshukuru sana Mungu kwa kunipa huyu mwanamke, tena hii thread imenikumbusha kitu ngoja kesho nimnunulie zawadi mke wangu
Sijao lakini naamini anayefanya ndoa iwe paradiso au jehanam ni mwanaume, tumeambiwa tuishi kwa akili na wake zetu, kwa hiyo hilo halinisumbui kichwa. Wanaoona ndoa ni janga wameshindwa kutumia akili kuishi na wake zao. Over
Sijao lakini naamini anayefanya ndoa iwe paradiso au jehanam ni mwanaume, tumeambiwa tuishi kwa akili na wake zetu, kwa hiyo hilo halinisumbui kichwa. Wanaoona ndoa ni janga wameshindwa kutumia akili kuishi na wake zao. Over
Mkuu matatizo ndani ya ndoa huwezi kulaumu jinsia moja tu. Jinsia zote mbili zinahusika kwa namna moja au nyingine katika matatizo yaliyomo ndani ya ndoa na hata hapa jamvini kuna mifano chungu nzima ambayo imewahi kutolewa na wale yaliowafika ikiwemo wanaume pia.
https://www.jamiiforums.com/mahusia...angu-amezaa-na-mume-wa-mtu-6.html#post7306942
Mchumba sio mke, mie naongelea ndoa mkuu, utashangaa huyo pamoja na kuzaa na mme wa mtu jamaa ataendelea kumng'ang'ania, kama sio kukosa akili ni nini? Mara nyingi matatizo ya ndoa chanzo ni wanaume kwa namna mbalimbali mkuu.
BAK. Nimekuelewa hoja yako, ila kwa kiasi kikubwa chanzo huenda ikawa ni wanaume. Nikioa mke akanifanyia hayo, pamoja na fadhila zote nitakazomfanyia, basi huyo atakuwa sio mke ni zimwi, nitakubali kwamba niliingia chaka.
BAK Lady doctor kuna dada jirani yangu hapa ananiita, analalamika, anasema naombe uje kunishauri shemeji yako amezidi. Naenda kumsikiliza, kwa kuny'ata lakini.