Lyatuu the Great
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 212
- 85
Mkuu hili neno unalipenda sana nadhani kwa siku unalitumia mara nyingi sanainteresting...
adjectiveMh mimi mwenyewe najiulizaga sana hilo jambo kuhusu hili neno interesting
Ili wengine wasiboreke na hili neno kwa kutumika sana, synonyms (maneno mbadala) nadhani angetumia kati ya haya;This is very interesting indeed!!
Si maana yake inapendeza/inafurahisha.Mh mimi mwenyewe najiulizaga sana hilo jambo kuhusu hili neno interesting
InterestingIli wengine wasiboreke na hili neno kwa kutumika sana, synonyms (maneno mbadala) nadhani angetumia kati ya haya;
Absorbing
Fascinating
Riveting
Gripping
Compelling
Captiving
Engaging