Ndoa ni chuo

Nini kimetokea mtumishi?
 
Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Kama watu mmependana ishini pamoja bila kusainishana mkataba. Mapenzi yakiisha kila mmoja anachukua njia yake, anabaki na kilicho chake.
Ndio Maana Mimi Mwanamke anayetaka Kuishi na Mimi asithubutu kutaka Ndoa za makanisa au mamiskiti, na wananifahamu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…