Ndoa ni changamoto

Ndoa ni changamoto

Sure, i can tell you hata mshahara wa Wife naupangia matumizi mimi kama baba wa familia and she's happy to be submissive to me.
Sema tukipenda tupo good mkuu,sipingi
 
Minor true lakini umeanza vizuri juu ukamalizia na hoja ya ke pekeyake ndomana nikakukumbusha na me pia,ila sio mbaya nimtazamo wako wala me sipendi ligi hivyo ushindi nakuachia
Of course nilichokisema hapo mwishoni ni sahihi kabisa.

Ukiona jamii yoyote ile ambayo wanawake wana kasumba za ajabu ajabu kama vile umalaya iliokithiri mpaka kuzaa nje ya ndoa basi ujue ni wanaume ndio wameruhusu kasumba hiyo kushamiri... kwa sababu hakuna strictness yoyote kwenye suala la maadili.

Angalia jamii za kiarabu kisha angalia na jamii za wazungu ni jamii ipi ambayo wanawake wao wamekengeuka kimaadili kiasi kwamba suala la paternity fraud limekuwa la kawaida.
 
Ogopa mwanamke, Ogopa mwanamke nasema hivi, Ogopa mwanamke, yaani Mungu alisema tukae nao kwa akili, naongezea tukae nao kwa akili kama digidigi yaani.

Hapo ni Eva na vipi angekuwa yule Lilith hihihiiiii, ingekuwa balaa kubwa!.

Ndiyo maana juna jamii na imani hadi leo hiki kiumbe halipewi uhuru wala kuthaniniwa, itakuwa wanaepuka hizi figiri !.
 
unaofanywa na wanaume ni nini mkuu?
Kwa hiyo kisasi ni kumbambikizia mmewe mtoto ambaye sio wake?

Fanya uhuni ila ukibug uwe accountable na uhuni wako na si kumbebesha msalaba mwenzio, umezalishwa nenda kwa aliye kuzalisha.
 
Kila mtu ana shetani lake, ni kuomba Mungu tu lisivue ngozi ya ushetani.
 
Back
Top Bottom