Ndoa nguvu sana wadau, labda mimi ninamkosi

Ndoa nguvu sana wadau, labda mimi ninamkosi

Nikweli bw Trimmer ila sasa hivi unaniandikia hii sms napigiwa na muhusika pamoja na ndugu zake kwamba wanaomba hii kesi iwe chamber court na sio public court kwamba nimambo ya aibuu kwa mwanamke kueleza madhaifu yake mbele mbele za watu wengi..nafikiri hapo utapata picha sasa
 
gawaneni tu yaishe kila mtu aendelee na maisha yake. kisicho riziki hakiliki hata ufanyeje. ukiendelea kumng'ang'ania atakutilia sumu ufe buree mbaba wa watu.
 
Asante sana MADIDINGWA inaumaa sana kulea mwenyewe watt lakini sina jinsi imenipasa kufanya hivyo, na ndio maana nikaileta hii issue kwa wananchi ili waone dunia na wakati wake..
 
Mmmh ndoa hizi jamani wengine tunatamani kuingia wengine wanatoka basi tabu tupu loh!!
 
Naona Lara 1 anaguna hiyo ndio hali halisi wanau
Na WA KUSOMA, hapa nazungumzia miaka 8 ya ndoa sio ya urafiki maana mtt wa kwanza alianza kupatikana kwenye uchumba au niseme Urafiki baadae tukafunga ndoa
 
Hahahahahahah wadau ninalitaka nimuache kwa a jamani ili baadae akumbuke wakuu, na ninamiaka nae nane 8 sasa na watt 2
Tatizo atachepuka, kimsingi anatakiwa yeye ndio aanzishe mchakato wa kuachika maana labda ameona mna mali hivyo analianzisha ili wewe utakapotoa talaka mgawane akaanzishe maisha mengine.
 
Mkuu jino liking'oka ukubwani wanaliita pengo lakini mtu huyo huyo anaendelea kuwa na meno mengine.endelea na taratibu zako haina mana maisha yatakomea kwake
 
wengine tunataka ndoa wengine hawatak ndoa..hatar sanaaaa

bora umpe tu.ila tegemea atarudi kuomba msamaha
 
Back
Top Bottom