Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
sasa unaogopa nini ndg yangu, ndio ukweli ulivyo huo!!!!!! na hii ndio sababu kubwa ya wanawake kucheat kma ulikuwa hujui!
Kha!!! cha kufia presha na mawazo lukuki ndani kisa nini? ndio sasa wanaume wajue ubaya wa kuwasaliti wake zao, na mume wa hivo inafaa kumzalia katoto kamoja ambako si kake halafu akikua ndio unamwambia ili na yeye apate uchungu kama alioupata mke kwa yeye kuzaa nje ya ndoa....mxiuuuuu
NN,Inafika wakati mtu unaweka mguu wako chini, unachora mstari na kusema 'sasa badi, imetosha'. Unasepa unaenda kuendelea na maisha yako.
NN,
Una Mke?
NN,Hahahaaa why you ask?
NN,
Ninapokusoma nahisi hujawahi kumuamini mwanamke hata siku moja!!! Huwa najiuliza kitu kimoja, kama una mke unaishi naye kwa staili gani? Akitoka nje sio wako?Na Akirudi ndani ndio wako?
Au wewe ni "Hit and Run", samahani lakini ni mtizamo wangu tu.
Haluu umenikumbusha jirani yangu mmoja alimfumania mumewe na mwanamke, revenge yake sasa yeye aliamua kuzaa kabisa na mwanamume nje ya ndoa. Bado wako pamoja na motto wanamlea. Lkn mume wake ukimuona alivyonywea hana hamu na wanawake kabisa!
Hakyanani mama J usije jiunga na Jf
bora umwambiage mapema, lkn ukute mama J mwenyewe ndiye miye hapa sijui utazimia?
unaeza mwaya kuishi na mwanaume aliyezaa nje ya ndoa, inauma sana lkn unasahau na maisha yanasonga, ilimradi km mwenyewe kaomba msamaha na kajirekebisha..
hata ukisema uondoke utaacha wangapi, unaweza kukuta huyo mwingine si malaya lkn ana tabia zingine mbaya zaidi au akawa malaya zaidi ya uliye nae sasa.
pili vumilia tu kwa ajil ya watt wako, ujue ukiondoka hapo ndio unampa mwenzio nafasi ya kuja hapo kuwa mama na mwishowe wanao walelewe na mama wa kambo..
ila ukiona machungu yamekuzidi sana waweza na wewe kurevenge na kuwa na kidumu chako kinakuliwaza huko nje ila ndoa huvunji na nyumbani huondoki.....siku hizi wanawake hatuondokagi bana hasa km mmejenga pamoja, mmezaa..tafuta furaha popote lkn baki hapo hapo

Halafu wewe, kwa nini ulinikimbia na deni langu? LOLNdoa ni sawa na kucheza karata kuna kupata na kukosa, waone wafundaji wakushauri na pia isikilize sauti yako ya ndani.
Jamani jamani jamani, likimfika mwenzio si vyema kuhukumu, kumbukeni hamuijui siku wala saa kwani wanaume mitala wameumbiwa na hata vitabu vya dini vinakiri kuhusu jambo hilo. Jambo la muhimu hapa ni kumuomba Mwenye Enzi Mungu akuepusheni na kikombe hicho.........Du pole!!! Ilikuwaje mumeo akaenda zaa nje?? Ni dharau Hilo halikubaliki!!!
Halafu wewe, kwa nini ulinikimbia na deni langu? LOL
nakutafuta ujue!
Habari za siku nyingi mjukuu wangu mbalu
its possible baba na mama walifanya dili ili kijana wao abaki na ndoa yake
Jamani jamani jamani, likimfika mwenzio si vyema kuhukumu, kumbukeni hamuijui siku wala saa kwani wanaume mitala wameumbiwa na hata vitabu vya dini vinakiri kuhusu jambo hilo. Jambo la muhimu hapa ni kumuomba Mwenye Enzi Mungu akuepusheni na kikombe hicho.........
CC: ODM Asprin, Eiyer, Nyani Ngabu
Nilikuaga sielewi kwanini unaitwa baba Paroko, leo nimeelewa na mimi naahidi kuanza kukuita kwa jina hilo.