heeeee inatishaa....siwezi mtendea mahabuba wangu hvo jmn dahh...tujifunze kusamehe,bora umpotezee tu mtu kuliko hivi^^
Eti mwanamke hapigwi kwa makonde ila kwa kanga?? Mwanaume yeye ndo hupigwa hivyo??? Kuna wanawake hapa jukwaani isije mada ya mwanaume kumpiga mkewe, watatoa maneno mpaka unaogopa!
UKWELI NI KUWA
Wanawake nyie ni viumbe wa ajabu sana, hapa mnajifanya kuingiwa na huruma, upole, masikitiko n.k lakini alichotenda mwanamke huyu hapo juu, ndio uhalisia wa wanawake wengi waamuapo kutetea mnazoita haki zenu. Heri huyo kaacha majeruhi, kuna wengine wanaua kabisa.
Ikowapi timu ya utetezi wa wanawake waje wafanye Party hapa?
Munkari Husninyo Heaven on Earth Lala 1 ladyfurahia badiebey Evelyn Salt Kaunga venine n.k Njooni mtoe pongezi zenu kwa mwanamke mwenzenu
^^
^^
Kila kusudio linapofanikiwa ipo haja ya kupongeza aliyekusudia... Sifanyi kazi ofisi ya takwimu bila shaka ningekupa,, hoja yangu ni kuwa matunda ya michango ya wanawake jukwaani hapa (pole kama we mgeni wa jukwaa hili) yamezaa matunda. Ombi langu waje wafurahie
^^
^^
Eti mwanamke hapigwi kwa makonde ila kwa kanga?? Mwanaume yeye ndo hupigwa hivyo??? Kuna wanawake hapa jukwaani isije mada ya mwanaume kumpiga mkewe, watatoa maneno mpaka unaogopa!
UKWELI NI KUWA
Wanawake nyie ni viumbe wa ajabu sana, hapa mnajifanya kuingiwa na huruma, upole, masikitiko n.k lakini alichotenda mwanamke huyu hapo juu, ndio uhalisia wa wanawake wengi waamuapo kutetea mnazoita haki zenu. Heri huyo kaacha majeruhi, kuna wengine wanaua kabisa.
Ikowapi timu ya utetezi wa wanawake waje wafanye Party hapa?
Munkari Husninyo Heaven on Earth Lala 1 ladyfurahia badiebey Evelyn Salt Kaunga venine n.k Njooni mtoe pongezi zenu kwa mwanamke mwenzenu
^^
nilijua tu lazima unitajetaje kwani usiponitaja huoni raha
nilikuwa machimbo mererani sasa nimecome back
ngoja nisiseme kitu hapa waje wengine waongee
kwani mm nina vidonda nikianza kujitonesha itakuwa :tape:
Hamna cha kushangilia hapa, kunyanyasika hakutakiwi iwe mwanaume au mwanamke. Ukishangilia hapa lazima uwe na tatizo la akili.^^
Awe mwanaume au Mwanamke, hapa tumeletewa endresult ya maamuzi yake, na hoja yangu hapa ni kuwa, SHANGILIENI maana mmepata mfano wa kuepuka humiliation za maneno na matendo ya wanaume
^^
Mkuu Himidini kuna nini hapa mbona sielewi elewi. Nimeisoma mada na kuona ukatili huu aliofanya mwanamama huyo kwa mumewe. Hata tukikwepa lkn huu utabaki kuwa ukatili na tunaposema mfumo dume haina maana kwamba wanawake wote wako safi hapana. Wapo wanawake wenye akili kama hizi na wapo wastaarabu vivyo hivyo wapo wanaume wastaarabu kama mume wangu na wapo wanaume wakorofi na watesaji kama wa kwenye ile mada niliyoipost mwaka jana . Huo wote ni ukatili na si vizuri kuufumbia macho kwa sababu zozote.^^
Tatizo ni kuwa natumia simu,, hoja yangu ni kuwa wanawake humu jukwaani wamekuwa wakiona kuwa wanaume pekee ndio viumbe katili na wao ni viumbe wema! Nenda kwenye mada alizowahi kuanzisha Ablessed kuna mada ya issue ya Bi Rehema
utajua nalozungumza
^^
^^
Nakubali wanaume ni wengi, hilo halina ubishi,, sasa kwa wanawake wachache waliojiwezesha wakaweza kufanya aliyofanya mwenzenu hapo juu, kwa nini msifurahi?
^^
Mie sio mgeni ktk safu unavyodhani.Pili sioni jambo la kuwafanya wanawake wafurahie, hapo ni kuwakejeli tu.
Nadhani wewe ndiye mkatili uliyefurahia mwanaume mwenzio kumwagiwa mafuta ya moto!
Shangilia mwenyewe sasa!
Usipotoshe mada eti kujifanya wanawake tunafurahia vitendo vya kikatili! Ungeacha tutoe michango yetu ndipo utu judge!
Otherwise nakuona mwanaume flani uliyejawa na inferiority complex na mwenye kupenda kushindana na wanawake badala ya kutafuta hela!
^^
Huna jema!
Utajwa tatizo, Usitajwe tatizo,, wakati wa raha mnapenda kuitwa nyakati zinazohitaji hekima zenu mnakwepa!! Nani kinara wa kutetea haki za wanawake jf kuliko wewe?
Women learn to be yourselves
^^
i will celebrate if u have a lot of money and some assets and business have ma name .... i will celebrate sana aisee... lakini kama unanjaa kali i will not^^
Tangu zama mwanamke ndiye amekuwa akionewa na mwanaume, na jamii iliwajengea hofu wanawake wasijitetee, lakini sasa mambo ni mteremko, wanaweza kujitetea ili kuondoa mfumo dume! Here one has made it !!
Can't you celebrate? Eti miss chagga
^^