Ndoa ndoano


sio kila kitu ni chakushangilia mtu kama kaenda kinyume hakuna atakaempa sapoti hata awe miongoni mwetu Himidini
 
Last edited by a moderator:
^^
Ndivyo wanawake wanavyoazimia kutetea haki zao! Nimesema mmpongeze huyo mwanamke mwenzenu kwa kutetea haki yake ya nyumba,, si ndo mawazo yenu ya kisasa yalivyo? Au leo mnajifanya mmesahau mnayo comment humu?
^^

Mawazo yetu umeyafanyia utafiti na ukaconclude kwamba huwa tunapenda kushangilia mabaya yanayotokea kwenye jamii??
Bila shaka unawaprovoke wanawake kwa kusema wanawake washangilie,
Ni matendo mangapi maovu yanayofanywa na wanaume na hamshangilii??
Badala ya kukemea huu unyama ulotendeka unaona kwamba ushauri mzuri kwetu ni kushangilia??
 
sio kila kitu ni chakushangilia mtu kama kaenda kinyume hakuna atakaempa sapoti hata awe miongoni mwetu Himidini
^^
Lakini mwenzenu alitaka utawala wa nyumba, nijuavyo kila mwanamke wa leo ana kiu ya utawala sio kutawaliwa...upo wapi ubaya wa kumshangilia ambae hakwenda kinyume cha madai yenu yasiyoisha?
^^
 
Last edited by a moderator:

^^
Mabaya yapi? Kwenye jamii mwanamke amenyanyaswa kwa kuninyimwa haki zake, za urithi, mali, maamuzi ktk familia,ndoa n.k Mwenzenu leo kajitolea, ndo mnajifanya hamhusiki na vilio vyenu? Miezi michache iliyopita kuna mada ilikuja hapa mwenzenu anadai yupo kwenye ndoa kwa ajili ya kisasi, mmesahau mliyosema? tian
mbona mnajifanya wasahaulifu kiasi hicho?
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Lakini mwenzenu alitaka utawala wa nyumba, nijuavyo kila mwanamke wa leo ana kiu ya utawala sio kutawaliwa...upo wapi ubaya wa kumshangilia ambae hakwenda kinyume cha madai yenu yasiyoisha?
^^

angeutafuta utawala wa nyumba kwa haki na amani hakwenda kinyume na madai lakini ametumia njia isiyo sahihi ukichukulia hiyo nyumba nadhani ameikuta hakuijenga yeye
 
angeutafuta utawala wa nyumba kwa haki na amani hakwenda kinyume na madai lakini ametumia njia isiyo sahihi ukichukulia hiyo nyumba nadhani ameikuta hakuijenga yeye

^^
Unakubali kuwa mali unazomkuta nazo mume ni mali zako pia?
^^
 
nakataaaa
inategemea umemkuta nazo katika mazingira gani

^^
Mazingira?? Kama yapi yatakupa uhalali wa kuwa mali yako pia? Ile sheria ya nusu kwa nusu inapotokea kuachana haijumuishi mali?
^^
 
^^
Mazingira?? Kama yapi yatakupa uhalali wa kuwa mali yako pia? Ile sheria ya nusu kwa nusu inapotokea kuachana haijumuishi mali?
^^

mazingira kama ya huyo mama hayampi asilimia mia moja kusema mali ni yake kwanza kamkuta mume na watoto isitoshe nyumba ilijengwa na mke wa kwanza hiyo sheria ya nusu kwa nusu inategemea na mazingira
 

naomba unitoe kwenye hao uliowataja mkuu Himidini
 
Last edited by a moderator:

Am not discussing this issue with you again.
 
Last edited by a moderator:

Hapo hamna la kusherekea mkuu. It seems hili limekuuma sana, pengine ni kwasababu ni mwanaume mwenzio kafanyiwa.

Hivi vitendo havina ushabiki. Ni vitendo vya kinyama, pamoja na mengine kama kulawiti, kubaka, kuua kwa ukatili. Regardless of gender ni vitendo vya kukemea.

You sound a bit bitter. Pole kama ulishawahi kuwa victim. Ila acha kunyosha vidole kwa jinsia ya kike kwamba tunafurahia yaliyompata huyu baba. Sio kweli.
 
Last edited by a moderator:
mazingira kama ya huyo mama hayampi asilimia mia moja kusema mali ni yake kwanza kamkuta mume na watoto isitoshe nyumba ilijengwa na mke wa kwanza hiyo sheria ya nusu kwa nusu inategemea na mazingira

^^
miss neddy tukio hili lililoripotiwa halina tofauti kabisa na ule ukatili aliofanya mwanaume mmoja mwaka jana kwa Bi. Rehema (rejea mada ya Ablessed) tukio lile lilipoletwa hapa jukwaani, asilimia kubwa ya wachangiaji wakiwemo hawa wanaonikana leo, walilaani wanaume na kuweka wazi mwanamke ni mwenye huruma hawezi kufanya ukatili kama huo! Niliwabishia sana,, Leo mmejionea! Na kwa kuwa ni mwanzo wa kutafuta haki zenu (bila kujali ni halali au vinginevyo kama ambavyo wanaume wanavyowa humiliate kwa madai yenu) huoni kuwa huu ni ushindi kwenu?
^^
 
Last edited by a moderator:

^^
Lakini ni kweli kuwa hiyo ni njia ya mwisho kutafuta haki yenu?
^^
 

kuna mtu alishatetea wanawake kudai haki za mali kwa njia ya kufanya vitendo vya kinyama, humu ?

Au tatizo lako haswa lipo kwa wanawake kudai haki zao za kumili nyumba na mali? Ila unatafuta njia ya kuchafua hilo kwa kulink na vitendo vya kikatili?
 
Last edited by a moderator:
^^
Lakini mwenzenu alitaka utawala wa nyumba, nijuavyo kila mwanamke wa leo ana kiu ya utawala sio kutawaliwa...upo wapi ubaya wa kumshangilia ambae hakwenda kinyume cha madai yenu yasiyoisha?
^^

mwenzetu na kina nani

at the end of the day kila mtu atabeba msalaba wake mwenywe
and me i dont see any reason as kwanini nishangilie....why should I!!!!!!!
 
^^
Lakini ni kweli kuwa hiyo ni njia ya mwisho kutafuta haki yenu?
^^

By "yenu" unamaanisha wanawake? Sio kweli. Hiyo ni njia ya mtu mkatili. Haiendi na jinsia. Hata mwanaume anaweza akafanya hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…