yale yale...,mwanamke anaolewa akiamini mwanaume atabalika, na mwanaume anaoa akiamini mwanamke hatabadilika!kama hiyo siyo tabia mpya kwa mumewe as alikuwa nayo tangu hawajaoana leo anashangaa nini? kama mkewe alikuwa hapendi hizo tabia alikuabali nini kuolewa na mtu wa hivyo? kama kuna kitu huwezi kukivulia kutoka kwa mwenza na umekiona kabla hata hamjaoana usidhani kuwa mkiooana utaweza kukivumilia, na usidhani kuwa akitabadilika over nit....vinginevyo kama walikubaliana kwamba anaacha hiyo tabia halafu ameendelea nayo hilo ni suala lingine.
kwani huo mziki anaenda kila siku?
Yaani unajua kabisa kwamba mimi kukunyima wewe siwezi, lakini aisee leo kichwa kimechoka mbaya sana! acha nipopoe popoe niondoke.lawyer fafanua aisee. Wengine ndio kitchen party zetu hizi. Lol.
Hapo ndio swala la compromise linapokuja.
Nianze kwa kusema kwamba mara nyingi watu hua wanaingia kwenye ndoani wakitegemea zile tabia nzuri za mwenza zitaendelea na kama ana mbaya atakuja kuachana nazo. Hapo tayari mtu anakua hajielewi....kile anachotaka anadhani ndicho kitakachokua.Kwamba kama ana taia mbaya atabadilika...na kama ana nzuri hatobadilika. Tunasahau kwamba kuna uwezekano wa zile tunazoziona ni tabia mbaya kuendelea kuwepo na zile nzuri kupotea.
Unapoingia ndoani na mnywaji...mtokaji sana..mvuta sigara n.k kuwa tayari kudeal na hayo mambo maisha yako yote iwapo yataendelea kuwepo. Kwenye kesi ya shangazi yako ni dhahiri kwamba yeye anajua kwamba majukumu yameongezeka hivyo inabidi muda wake mwingi atumie kuwa na mtoto...na aliamini kwamba itakua hivyo hivyo kwa mwenzake. Alichotakiwa kufanya tangu mwanzo (kabla ya kukubali kuolewa na kuwa na mtoto) ni kuongea na mwenzake kujua kwamba huko mbeleni mambo yatakuwaje? Bado tutaendelea kujirusha:?Kwa kiasi gani? Kama mimi nisipopenda kwenda na nikakuomba na wewe ubaki utakubali? ..na mengine kama hayo badala ya kuASSUME kwamba mwenzake nae atabadilika kuendana na situation.
Pamoja na hayo bado mjomba wako nae ana makosa.
Anashindwa kuelewa kwamba ndoa ni compromise na kwamba sasa hivi anatakiwa afikirie furaha ya watu wengine wawili na sio yeye pekee. Akishafanya hivyo wakutane katikati. Kwamba aweze kutoka kidogo ..labda two nights a week na hizo siku nyingine awajibike pamoja na mwenzake.
Swala la kwamba ni halali kwa mume kuendekeza starehe na mke hapendi inategemea. I mean huwezi kumtaka mtu siku zote saba akitoka kazini anyooshe moja kwa moja nyumbani na asiweze hata kukutana na marafiki kwa maongezi ya hapa na pale .Muhimu hapa ni makubaliano na kuwa na kiasi. Mke ampe mume nafasi kidogo ya kuweza kufurahia na marafiki na mume nae atoe muda wake kuwa nyumbani na kusaidia pale anapohitajika kufanya hivyo. Kwahiyo anachotaka kufanya shangazi yako,...naomba kusema ANATAKA KUMKOMOA mwenzake kwamba kama mimi sili basi na wewe usile...nisipolala na wewe usilale sio sahihi.Awe REASONABLE.
Yaani unajua kabisa kwamba mimi kukunyima wewe siwezi, lakini aisee leo kichwa kimechoka mbaya sana! acha nipopoe popoe niondoke.
Inshort ni kwamba unapokuwa kwenye ndoa unahitajika kulipa nguvu penzi kwa mbolea ya romance (In a widest meaning of romance), na pili ni kulipa heshima penzi kwa kujicommit na kila ambacho kitalipatia heshima penzi, na tatu ni kukubali kusacrifice baadhi ya mambo ambayo yana athari whether direct or indirect kwenye mahusiano (zipo starehe obviously hazikubaliki kijamii na kindoa, zipo starehe ni compromisable baina ya wanandoa na zipo zile ambazo totally unacceptable).
Pia usisahau wanandoa kuwa na common character ni nguzo moja muhimu sana wakati unatafta mchumba.
swala la kubadilishana linabaki na utata. Kwa upande mwingine huoni kama mwanaume ana makosa? Kama walikuwa wanatoka wote kabla hawajazaa kwanini mwanaume na yeye asisitishe club asaidie malezi mtoto akikua waendelee kama kawa.
haya weee kamanda naona ni kiswanglish kwenda forward,una nia ya kugombea kuingia Bigbrother house ile ya Dodoma ambayo kulala ruksa lakini kukoroma NO.Yaani unajua kabisa kwamba mimi kukunyima wewe siwezi, lakini aisee leo kichwa kimechoka mbaya sana! acha nipopoe popoe niondoke.Inshort ni kwamba unapokuwa kwenye ndoa unahitajika kulipa nguvu penzi kwa mbolea ya romance (In a widest meaning of romance), na pili ni kulipa heshima penzi kwa kujicommit na kila ambacho kitalipatia heshima penzi, na tatu ni kukubali kusacrifice baadhi ya mambo ambayo yana athari whether direct or indirect kwenye mahusiano (zipo starehe ambazo obviously zinakubalika kijamii na kindoa, zipo starehe ni compromisable baina ya wanandoa na zipo zile ambazo totally unacceptable).Pia usisahau wanandoa kuwa na common character ni nguzo moja muhimu sana wakati unatafta mchumba.
apumzike kwa amani ? bestman wetu / hebu badili kauli laaziz.poa lawyer umeeleweka. Pumzika kwa amani.
haya weee kamanda naona ni kiswanglish kwenda forward,una nia ya kugombea kuingia Bigbrother house ile ya Dodoma ambayo kulala ruksa lakini kukoroma NO.
sweety huyo anko longtime ni mutu ya laga-mupe muruke na dushele sasa kumbadili gafla kwakuwa wamezaa mtoto ni kutafuta lawama,kama anko sio mzinzi na anajali familia msitarajie aanze kubadili nepi na kumbembeleza/kumlaza mtoto.swala la kubadilishana linabaki na utata. Kwa upande mwingine huoni kama mwanaume ana makosa? Kama walikuwa wanatoka wote kabla hawajazaa kwanini mwanaume na yeye asisitishe club asaidie malezi mtoto akikua waendelee kama kawa.
Niko busy namuimpress Lizzy bana! mimi nikimuona Lizzy tu basi nasahau kiswahili kabisa yaani.
sweety huyo anko longtime ni mutu ya laga-mupe muruke na dushele sasa kumbadili gafla kwakuwa wamezaa mtoto ni kutafuta lawama,kama anko sio mzinzi na anajali familia msitarajie aanze kubadili nepi na kumbembeleza/kumlaza mtoto.
hehehe Kipipi bana!Nawaona mmerudi kwa pamoja. Mlikuwa wote Igunga nini?
Wewe Husninyo wewe! yaani ukishakutulia nitafute (unajua pa kunipata), kuna point unaimiss kwenye hii thread yako lakini sio pointi ya kuzungumzwa hadharani.mtu wa laga kichizi ila hana ukorofi hata kama amelewa. Kitu asichopenda wife wake ni mambo ya dushelele, si unajua linaanza kunoga late kabisa.
sasa kama walivyosema wakuu wengine ni mambo ya maelewano tu,wakubaliane anko kwa wiki mara moja awe anaenda kuyarudi magoma la sivyo akimbana sana nayo ina madhara yake.mtu wa laga kichizi ila hana ukorofi hata kama amelewa. Kitu asichopenda wife wake ni mambo ya dushelele, si unajua linaanza kunoga late kabisa.