Ndoa na starehe

sasa kama walivyosema wakuu wengine ni mambo ya maelewano tu,wakubaliane anko kwa wiki mara moja awe anaenda kuyarudi magoma la sivyo akimbana sana nayo ina madhara yake.

anko magoma kila wkend ila kinywaji ni daily. Ngoja nitafte namna ya kuongea nae.
 
anko magoma kila wkend ila kinywaji ni daily. Ngoja nitafte namna ya kuongea nae.
mnaweza kumbadili polepole kama umesema huenda club weekend tu iwe siku moja na hili la kunywa kwa kuanzia awe anakunywa home siku 4 na bar siku 3 kwa kuanzia na polepole anaweza kuja na rafiki 1-2 wakanywa home na akazoea.
 
Hizi sasa ndo typical ndoa za dotcom,ukimwaga ugali namwaga mboga,ukichelewa kurudi nasepa.Mambo magumu sana haya maana inaelekea bi harusi ni wa mujini mujini na bwana harusi hali kadhalika ni wa mujini mujini,kaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli.Watarudiana tu,Husninyo wala usikonde ni kaupepo ka ibilisi kamempitia anti yako,akili ikirudi ataona amefanya upuuzi kuondoka.Ukipata muda ongea na anko mwambie lakini mshikaji(maana pamoja na uanko nahisi ni kijana mwenzio) hii noma mwambie,msisitizie kuwa anamuumiza mwenza wake wakati mwenza anampenda sana,we mpambe tu atajisikia vibaya na huenda akaanza kubadilika taratibu.
 
Naweza kusema, kama kuna hali huipendi katika ndoa, basi ibadili, ukishindwa hilo inabidi wewe ndio ubadilike na kukubaliana nayo, na kama hili ni gumu pia basi hatua ya mwisho ni kujiondoa........ huenda alijaribu njia ya kwanza na ya pili zikashindikana na ndio maana akakimbilia hiyo ya mwisho............. mke yuko sahihi..............
 
watu hadi mnakubali kuishi pamoja nadhani kuna vitu mnakuwa mnashear in commom. inakuaje kipindi cha uchumba uyo wifi yako aliona ni sawa na sasa hataki? mimi naona uncle yuko sawa aendelee tu na life style yake maadam hajaanza kwenye ndoa. alimkuta hivo na amwache awe hivohivo
 
weeh bebii, ntaanza kukufinya mapajani sasa! kha!

Nakubaliana na mtazamo wako...........
 
mnaweza kumbadili polepole kama umesema huenda club weekend tu iwe siku moja na hili la kunywa kwa kuanzia awe anakunywa home siku 4 na bar siku 3 kwa kuanzia na polepole anaweza kuja na rafiki 1-2 wakanywa home na akazoea.

ahsante mpenz, ndio maana napenda kukushirikisha matatizo yangu.
 
watu hadi mnakubali kuishi pamoja nadhani kuna vitu mnakuwa mnashear in commom. inakuaje kipindi cha uchumba uyo wifi yako aliona ni sawa na sasa hataki? mimi naona uncle yuko sawa aendelee tu na life style yake maadam hajaanza kwenye ndoa. alimkuta hivo na amwache awe hivohivo

mi mwenyewe naona anko wangu yupo sahihi ila mmh! Staki kumtetea.
 
Hizi sasa ndo typical ndoa za dotcom,ukimwaga ugali namwaga mboga,ukichelewa kurudi nasepa.Mambo magumu sana haya maana inaelekea bi harusi ni wa mujini mujini na bwana harusi hali kadhalika ni wa mujini mujini,kaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli.Watarudiana tu,Husninyo wala usikonde ni kaupepo ka ibilisi kamempitia anti yako,akili ikirudi ataona amefanya upuuzi kuondoka.Ukipata muda ongea na anko mwambie lakini mshikaji(maana pamoja na uanko nahisi ni kijana mwenzio) hii noma mwambie,msisitizie kuwa anamuumiza mwenza wake wakati mwenza anampenda sana,we mpambe tu atajisikia vibaya na huenda akaanza kubadilika taratibu.

yaani bishanga ndoa za dotcom zinasumbua. Ni anko ila mshkaji, nimeongea nae anasema hamfati mkewe ila mtoto atahudumia. Dah! Nazidi kukonda maana kianti changu nakipenda.
 
una uhakika........ hakuna kitu kibaya kwenye maisha ya mahusiano kama kutoa huku ukijipa alama za kufaulu mwenyewe siku zote yule anayefanikiwa ana mawasiliano mazuri na mwenzake maana kati yao tayari kuna urafiki haya mambo ya kumbinua mwenzako ukijiona mshindi na umemtimizia kila kitu ni uongo maana inaweza kuwa kwa mwenzako ulikuwa mchezo wa kuigiza na alichokuwa anakihitaji ni kitu kingine kabisaaaaaaaaaaa.

haiwezekwni kummpa mwanamke wa kibogo hivi vitu; always atakomplain tuu!
 
Ngoja nitafakari nitarudi baadae maana mada nzito sana hii na kloro kashaharibu hali ya hewa
 
Mhh hapa kuna mambo kadhaa:
1. Kama mtoto ni mchanga kuna vitu vingi sana vya kufanya including sleepless nights na kama mama ananyonyesha mara nyingi yy ndo muamkaji. At times kuna watoto wanachelewa sana kulala, so hapa ni bora baba kuwa home muda mwingi ili kumpa mama muda wa kupumzika, na kufanya shughuli zake nyingine. In this case, bia yangu nitainywea home (najua huwaga hainogi km ile ya baa ).
2. Suala la kwenda club na kujirusha wote awali sio issue. Ila kwa situation kama ya mtoto ikitokea, awali kama nilivyoeleza hapo juu, lakini over time sio vibaya weekend moja moja uncle kwenda kupiga mbili tatu, ongea na jamaa ila labda bora kurudi mapema sana (bila kusahau nyama choma, ndizi na mapochopocho kwa mama mzazi). I don't support smoking though...... sorry mambo ya kunuka kama tanuri halaf unakuja beba mtoto kiafya sio powa kabisa...

3. My problem kwa wamama ni pale mtu anajua tangu zamani kuwa ww ni mtu wa club, na at the end of the day unarudi nyumbani. Sasa wakishaanza kuchombezana- hasa kwa vile yy ana shoga au ndugu ambaye mumewe ni zuzu, yaani anaruhusiwa kunya bia mbili tu tena weekend akiwa ndani, haruhusiwi kutoka na wengine akishinda ndani anatinga mpaka sketi za mama eti kumfurahisha ( ushenzy huu) sasa ghafla bin vuu unashangaa wako nae anaanza kununa au kuna na sababu za kijinga jinga eti kutembea usiku hatari, au eti ohh labda unaenda kutafuta wanawake wengine ect..!! Hapa ndiyo lugha huweza gongana na kusababisha mushkheri..! Tena huyo analalamika sababu say unakwenda kupiga maji only one day ktk weeekend na siku zingne zote unakuwa home na kujishughulisha na shughuli zote...!
Haya mambo ya utandawazi, sijui labda na kwa sababu mataili ya malavidavi siku hizi nao wanaweza kuwa juu BASI sasa wengine wanajifanya wako juu zaidi ya waume zao na kuleta za kuleta. Wengine hata ukishinda nyumbani ni karaha tupu....... kuliko kujibizana na kujikuta umeshamtwika mtu ndoo, unajichopokea taratibu kuelekea ktk stuli kupiga mdahalo na bottle...!!
3.
 
yale yale...,mwanamke anaolewa akiamini mwanaume atabalika, na mwanaume anaoa akiamini mwanamke hatabadilika!kama hiyo siyo tabia mpya kwa mumewe as alikuwa nayo tangu hawajaoana leo anashangaa nini? kama mkewe alikuwa hapendi hizo tabia alikuabali nini kuolewa na mtu wa hivyo? kama kuna kitu huwezi kukivulia kutoka kwa mwenza na umekiona kabla hata hamjaoana usidhani kuwa mkiooana utaweza kukivumilia, na usidhani kuwa akitabadilika over nit....vinginevyo kama walikubaliana kwamba anaacha hiyo tabia halafu ameendelea nayo hilo ni suala lingine.
kwani huo mziki anaenda kila siku?

Hapo kwenye red mamaaaa umemaliza kila kitu khaaaaaaaa! Kama vp niambie nijilete mwenyewe una akili wewe! teteteeeeeeeeeeeeee! Natania mwayego
 
Huyo aunt wako ni mcharuko kwa kwenda mbele! Upweke ndio unaomponza aunt yako ukizingatia pia watoto wachanga wanvyosumbua halafu yuko alone, lazima amuwakie tu uncle wako. Hata hivyo atarudi tu mwenyewe ulezi wa mtoto peke yako unaboa sana.

Anahisi uncle wako anafaidi maana si walikuwa wnaenda wote mitoko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom