Ndoa-mtihani

Ndoa-mtihani

Aisee dada yangu sijui kama ulipitia katika hayo niliyoandika au vipi lakini kama ulivumilia hayo hongera sana, ndoa yangu bado changa sana so siwezi kusema sana ila namshukuru Mungu mume wangu ananipenda na kunijali sana sometimes naona kama vile Mungu alinipa mtu kutokana na mimi nilivyo kwa kuwa mimi uvumilivu huo sina dada yangu ikitokea akabadilika akawa hivyo sidhani kama kutakuwa na ndoa tena ntampisha tu tena wala sihitaji kidumu wala spare tyre nitaishi mwenyewe kwani maisha si kuwa na mwanaume tu, kama ni maombi naomba sasahivi kwamba Mungu aendelee kutulinda na atuepusha na vitu kama hivyo, lakini akibadilika akawa gume gume atajiombea mwenywe
mh!usiseme hvyo dada angu naomba nkuulize swali una mtoto?
 
mh!usiseme hvyo dada angu naomba nkuulize swali una mtoto?

sijasema kwa ubaya wala sisemi kwamba wangu ni malaika hata kuja kubadilika hayo Mungu pekee ndo anaejua, ila nimeongea kwa jinsi vile mimi nilivyo, ndo kwanza tuna miezi tu hatuna mtoto
 
majibu yake mengi yako wazi... tatizo ni application tu... ndoa si ngumu... wagumu ni wanandoa...
yani shemeji ningekua na uwezo ningekutunukia nishani ya uprofesa.
 
yani shemeji ningekua na uwezo ningekutunukia nishani ya uprofesa.

ahsante.. nimeshapewa hadhi ya ufalme na malikia wangu miss neddy.. hebu angalia kichwani vizuri!
 
Last edited by a moderator:
sijasema kwa ubaya wala sisemi kwamba wangu ni malaika hata kuja kubadilika hayo Mungu pekee ndo anaejua, ila nimeongea kwa jinsi vile mimi nilivyo, ndo kwanza tuna miezi tu hatuna mtoto
ah!wala usijali mama angu nimeuliza kwa nia njema tu!bt naomba nikushauri katika maombi yako mwombe Mungu akufundishe kuchukuliana na hali yoyote umenistua hapo "akibadirika atajiombea mwenyewe" hlo tu dada angu mpenzi by the way hua napenda michango yako mwenzio.....
 
hali yoyote mmh ngoja niachie hapo, asante
 
Naomba kukuuliza swali mtoa mada,wewe umeolewa?ni vizuri ushauri atoe mtu amabe yupo ndani ya ndoa si mtu hajawahi hata kuchumbiwa anawaambia wenzie ndoa ndoano..we umejuaje ndoano?ushauri atoe mwenye experience tena yenye miaka si miezi....

married with 10 years
 
Back
Top Bottom