Utafiti Umeonesha kwamba ndoa ndio shule ngumu

Utafiti Umeonesha kwamba ndoa ndio shule ngumu

WISE 2012

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
634
Reaction score
460
"Ndoa tu ndio Shule ngumu sana KUFAULU kuliko shule zote, na ndio maana unapewa Cheti chake kwanza' halafu mitihani yake unaikabili baadae'' la sivyo' Ingeanza mitihani wengi wangetoroka shule na wachache wangefaulu kupata cheti.!"
 
Back
Top Bottom