Ndoa miaka 11 naomba ushauri


Asante sana ndugu yangu na nashukuru sana na nimepokea ushauri wako wala hamna neno kabisaaa....
 

Asante sana kaka kwa ushauri qako nashukuru sana tena sanaa unajuwa kama mwanaume nimejifunza mengi sana na kwa hilo nashukuru sana wala hamna neno mkuu nadhani nimejifunza sasa....
 

Asante sana kaka nashukuru sana tena sanaaa kwa ushauri wako na nimeupokea na nitaufanyia kazi wala hamna neno kabisaaaa....Ni ushauro mzuri sanaa....
 


Asante sana tena sana kwa ushauri wako wala hamna neno kabisaa....Na nimekuelewa vizuri mkuu...
 
Wanawake wasio na watoto wako wengi sana dunia hii,ikawaje ukaoa Single Maza?

Najuta sana maisha yangu yote nimefanya makosa na kuwa mpole imenifanya nionekane mjinga kila mahala kwa ajiki ya upole wangu....

Daaa nashukuru sana tena sanaa nadhani umesema vitu vingi sana na kwa hilo kwa kweli nashukuru sana na nimekuelewa vizuri kabisaa....Nadhani umenishauri kutoka kwenye experience yako na kwa hilo asante sana ndugu yangu tena sanaa umeniambia kitu au ushauri ambao inabidi niufanyie kazi...Again asante sana...
 

Sawa sawa mkuuu nimekuelewa na ulivyosema upo sawaa kabisaa na nashukuru sana maana ushairi wako ndio kila kitu napitia mungu anaona upo sawa kabisaa wala hujakosea hata kidogo.....
 
Je, bora niondoke?

Mtoto wako akija kujua hayo unayopita atakudharau
 
Je, bora niondoke?

Mtoto wako akija kujua hayo unayopita atakudharau

Asante sana kaka nashukuru sana kwa ushauri wako na nimeshagundua nafanya ujinga sana tena sanaa sio kidogo...
 
Tuko pamoja kiongozi,usikate tamaa kwani kisichokuua basi kinakujenga. Bado una nafasi ya kufanya maamuzi sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…