Ndoa miaka 11 naomba ushauri

Huna mke apo.kikao Cha mwisho tulisemaje kuhusu single mama..?
 
Kaka wewe kweli ni IDIOT, IMBECILE, STUPID MORON.

The fact kwamba umevumilia disrespect kubwa kiasi hiko kutoka kwa huyo mwanamke na huyo ex wake inaprove wewe ni idiot.

Na kwa sababu umevumilia hayo kwa miaka muongo mzima, basi huenda wewe ndiyo umeolewa na huyo mwanamke.

Mwanamke kukuinsult, kukumwagia juice, kukulazimisha eti mshee password na wewe upo upo tu huna say huo kama siyo uzwazwa ni nini sasa!

Formula ni mwanamke ukimuoa na akashindwa kushika mimba ndani ya miaka miwili chapa lapa kazae nje ili ujue shida iko wapi. Ukizalisha basi mchane wazi kwamba una mwanamke mwingine anayekuzalia nje na utampa heshima zote za mke wako, ila yeye hautamuacha. Kama ataamua kuchapa lapa yeye sawa, ila wewe utakuwa umemchana uhalisia!
 
Watu walioachana na wamezaa kiuhalisia huwa hawajaachana hizo ni likizo tu muda wowote kinaweza kuwaka, cha kukushauri kwa kuwa umeshapata mwingine na amekuzalia kajenge familia naye siyo kuendelea kupoteza muda na mwanamke asiye na uwezo wa kukuzalia na wala huna hata mtoto kwake.
 
Kaka anza taratibu ku invest kwako, tunza hela, jiweke mbali nae kihisia, na mtoe moyoni, kwa kifupi achana nae kimahesabu, sio kwa pupa, hakikisha uko tayari kiakili na kihisia unapomuacha, hapo ndo wanawake wanatuzidi mbinu, ruka huo mtego, otherwise, utapata presha na sukari.. labda na stroke, utakufa.
 
Hujamuoa, Huyo ni Mke wa Mtu, tena mama watoto wa Mtu ambaye amekuoa wewe

Mwache arudi kwa Mzazi mwenzie wakalee mtoto wao

Kunguru hafugiki kamwe

Mkuu ni mke wangu ambaye tumeowana na kufunga ndoa ila nilimkuta wameachana na jamaa ndio maana...
 

Asante sana tena sanaa kaka kwa ushauri wako nashukuru sana kwa kila kitu....Nadhani umesoma na kuelewa vizuri nini nimesema hapo....

Hapo kuhusu kumuuliza jamaa kuna siku moja tuligombana akaniamboa kwamba siku moja utakuja kunikumbula unadhani unamjuwa huyu mwanamke kunizidi mimi utakuja kunikumbuka siku moja ila sikujuwa anamaanisha nini.....

Kwa sasa tunapitia mambo mengi sana pia vile vile hatujafanikiwa kupata mtoto mpaka hivi sasa mungu hajaalia kabisa....Na watu wengi sana wanaongea vitu tofauti kila siku atakuka atasema ohhh nimeambiwa hivi na hivi mara hivi na hivi....

Maisha yamekuwa magumu sana tena sanaa na dharau imekuwa kitu cha kawaida kwa sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…