Hiv boarding schools siku hizi zinatoa na vyeti vya 6kwa 6?
ni wazazi wachache sana ambao watoto wakirudi likizo huwa na muda wa kuwafunza house works. wengi wa wazazi hasa wa kileo huwa bize na kazi na hivi ukizingatia maisha yako kimjini zaidi, kwasababu mtu hata bustani huna, uwanja wa kufagia hakuna, nyumba ya kudeki ndo hvy kuna house girl wewe unategema huyu mtoto kazi atajifunzia wapi??
kama umeweza of which najua uliweza ni kwasababu ulidevote sana na hukuona uvivu kwenye kumfunza kazi.
KUOA KWA WENYE PESA ni KUJIFEDHEHESHAKwani wewe hukufindishwa matusi ukiwa praimare boarding?
ahhahahhahahahhahah yake ya nyuma ya jiko?
Dada huoni kama hapo issue ni malezi? Kwa hiyo hata kama wangesoma day hadi chuo kikuu, kama mama anaona mahausigelo wawili alionao na gardener wanatosha kumtumikia, hao watoto hata kuoga wangeshindwa. Tuongelee malezi. Kuna siku mtu alilalamika kukataliwa na wazazi wa mwanaume asiolewe akapewa jibu very harsh 'hamjajuaga wa level zenu'?. Yaani mie mtoto wa Mtambuzi, niende kujifolisha ini lavu na mtoto wa jk! Si ni kuitia stress tu familia yangu jamani? Hata siku ukiwaita kwako wakakope kununua dinner outfits!
Kama unapanga mbagala date mdada wa sinza ama tabata. Ukijiingiza kwa mdada wa masaki ambae anakaa kwa babake bahari iko hapo nje, utajitia karaha tu kuishi kwa kuimpress watu na kukopa kodi za nyumba benki ili uishi walau mikocheni ama upanga!
Ongezea kukimbia mchakamchaka unaamka saa kumi usikuunakumbuka yale maisha ......kule ilikuwa full mkimbizano.hakuna kuremba wala nini..mi nilisomaga na wadada
fulani wakawa wanajifanya High class mashauzi mengi baada ya muda mbona waliisoma namba..
na wakawa wachapakazi kuliko hata sie wengine
hizo boarding ni za siku hizi bana,,sie wa enzi zile tunaelewa
Dah hivyo jamaa alijitahidi kuvumilia kwenda kula hoterini,halafu ukimuona binti anvyong'aa barabarani utamani uende naye,unajua dada yangu wanawake na saiz wanafikiri kuwa na jins ya kike pekee umemaliza sasa kwenye kulea mtoto itakuwaje mtoto ataanza bording school kuanzi baby class mpaka chuo kikuu!
Kwani wewe hukufindishwa matusi ukiwa praimare boarding?
Dada huoni kama hapo issue ni malezi? Kwa hiyo hata kama wangesoma day hadi chuo kikuu, kama mama anaona mahausigelo wawili alionao na gardener wanatosha kumtumikia, hao watoto hata kuoga wangeshindwa. Tuongelee malezi. Kuna siku mtu alilalamika kukataliwa na wazazi wa mwanaume asiolewe akapewa jibu very harsh 'hamjajuaga wa level zenu'?. Yaani mie mtoto wa Mtambuzi, niende kujifolisha ini lavu na mtoto wa jk! Si ni kuitia stress tu familia yangu jamani? Hata siku ukiwaita kwako wakakope kununua dinner outfits!
Kama unapanga mbagala date mdada wa sinza ama tabata. Ukijiingiza kwa mdada wa masaki ambae anakaa kwa babake bahari iko hapo nje, utajitia karaha tu kuishi kwa kuimpress watu na kukopa kodi za nyumba benki ili uishi walau mikocheni ama upanga!
KUOA KWA WENYE PESA ni KUJIFEDHEHESHA
KUOLEWA KWA WENYE PESA ni UTUMIAJE WA FURSA
ahahhahahahha kuwa mwanaume ni kazi nayo enh!
Jamani hivi bado wiki ya chambuchambu kwa wanawake haijaisha??
wa feza anakuaje na wa weruweru anakuaje,explain yourself.mmh..mi nakataa kabisa hoja yako..inategemea shule gani ya boarding amesoma,au hujui kuna kayumba na international boarding school..mi nimesoma boarding toka darasa la 4 hadi sasa,but i dare say naweza vitu vingi kuliko ata ao day scholars..huwezi kufananisha mtoto alietoka weruweru girls na wa feza girls two different people
hapo kwenye red nimecheka mpaka basi, hizo boarding mpaka leo zipo sema ndo hivo zinaonekana hazina maana. mzazi akimpeleka mwanae feza, st maria etc ndo anadhan anamjali kumbe anaharibu.., nenda nsumba, sengerema sec, ifunda, tosa uone kama vijana hawapigi kazi za kijamii..., wazazi ndo wanaharibu watoto wao..periodww unaongelea boarding ambazo ulisoma miaka ya <2005 sasa boarding hizi za >2005 ni majanga matupu. na hata wale watt waliosoma primary boarding miaka hiyo nao pia wali lack skills hasa za house works. mie nilisoma boarding toka form 1-6 lkn enzi zile weruweru ilikuwa weruweru kweli manake tulikuwa tunaosha hadi migongo ya ng'ombe. chezeya kilimo wewe...................
mama wa hivyo, hata kama mwanaye atakuwa day school pia hataweza kumfundisha kazi za nyumbani, bottom line, tusisingizie boarding schoolni wazazi wachache sana ambao watoto wakirudi likizo huwa na muda wa kuwafunza house works. wengi wa wazazi hasa wa kileo huwa bize na kazi na hivi ukizingatia maisha yako kimjini zaidi, kwasababu mtu hata bustani huna, uwanja wa kufagia hakuna, nyumba ya kudeki ndo hvy kuna house girl wewe unategema huyu mtoto kazi atajifunzia wapi??
kama umeweza of which najua uliweza ni kwasababu ulidevote sana na hukuona uvivu kwenye kumfunza kazi.
Thanx my dear...na malezi pia yanachangia.......we si unaona binti ako alivyo active lakin kama
angekuwa anarudi home na wewe u care less about her ukiwa na housegel ye
ndo afanye kila kitu matokeo yake ni nini.....
My dada kumbe you have a big girl..Congrats,,Ur such a SUPER WOMAN
ha haaa, mambo ya kuchagua chips kuku kila siku.... maana si ndo unamiss shule!Yani ndio maana nasema i miss those days..
i miss being the one choosing menu iwe vipi lol
And fixed point,honestly hayo ya 6* 6 sio shule imefanya ni mtu binafsi.
And by the way,mi nlianza std 2 only 7years tena mbali kabisa
i love your spirit
Mkwe kwani boarding schools ni jela?Mkwe imekuwaje mwanangu akaanza boarding school akiwa la tano. Ulimchoka kivyo?
Naongeza mahari walah
Labda ninyi mlozaliwa kwenye utawala wa mzee Ben na baba Riz...Enzi za mwalimu hakukua na boarding za chekechea...kulikua na darasa la kwanza hadi la nne then middle school!
#Majanga
Ukitaka kuona ndoa ya blue haya sasa uoe mwanamke ambaye maisha yake yote yalikuwa ni kwenye shule za boarding, chekechea boarding, primary boarding, secondary boarding, a level boarding, chuo kikuu boarding.
Yaani ndani hawajui lolote, wachafu wa mazingira ya ndani, hawajui kupika vyakula vyote na vya kwenye 6X6 kiujumla hawafai. yaani anaweza akaacha vyombo vichafu mlangoni mpaka jioni viko palepale tu halafu wavivu muda mwingi ni kusinzia tu.
hebu na wengine toeni egisipiriensi yenu.
Ongezea kukimbia mchakamchaka unaamka saa kumi usiku