unakumbuka yale maisha ......kule ilikuwa full mkimbizano.hakuna kuremba wala nini..mi nilisomaga na wadada
fulani wakawa wanajifanya High class mashauzi mengi baada ya muda mbona waliisoma namba..
na wakawa wachapakazi kuliko hata sie wengine
hizo boarding ni za siku hizi bana,,sie wa enzi zile tunaelewa
na pia waseme kuwa hao watoto huwa hawarudi kwao likizoSasa my dear ndio maana nikasema hii research haieleweki kabisaaa..mi pia nimegraduate post 2005
alitakiwa basi afanye hata sampling(time,aina ya shule,etc) maana ipo too general.
na pia waseme kuwa hao watoto huwa hawarudi kwao likizo
binti yangu kasoma boarding kuanzia darasa la 5 mpaka sasa yupo form 2.
anaporudi home likizo, ndo anatupangia tule nini likizo yoote..... yeye ndo anajua lunch tutakula hiki na dinner tutakula hiki. siyo kupanga tu, na kupika pia. anapika siyo mchezo. Hii inatokana na mimi mwenyewe nilikuwa napenda sana kuwa naye jikoni na kumfundisha kupika.
Usafi room kwake anafanya mwenyewe, hayo ya 6x6 siwezi kumsemea, lol!
sasa hizo shule za boarding ambazo wanasoma hao ambao yeye kamuoa sijui ni za wapi?
labda asingizie wazazi wa huyo binti aliyemuoa, siyo boarding school
Ahahah!hata mimi kuna ambao walileta mashauzi masista waliwanyoosha within a year.
Nakumbuka siku ambazo mkitoka na zile fuso inakua more of an outing,aki i miss those days.
binti yangu kasoma boarding kuanzia darasa la 5 mpaka sasa yupo form 2.
anaporudi home likizo, ndo anatupangia tule nini likizo yoote..... yeye ndo anajua lunch tutakula hiki na dinner tutakula hiki. siyo kupanga tu, na kupika pia. anapika siyo mchezo. Hii inatokana na mimi mwenyewe nilikuwa napenda sana kuwa naye jikoni na kumfundisha kupika.
Usafi room kwake anafanya mwenyewe, hayo ya 6x6 siwezi kumsemea, lol!
sasa hizo shule za boarding ambazo wanasoma hao ambao yeye kamuoa sijui ni za wapi?
labda asingizie wazazi wa huyo binti aliyemuoa, siyo boarding school
binti yangu kasoma boarding kuanzia darasa la 5 mpaka sasa yupo form 2.
anaporudi home likizo, ndo anatupangia tule nini likizo yoote..... yeye ndo anajua lunch tutakula hiki na dinner tutakula hiki. siyo kupanga tu, na kupika pia. anapika siyo mchezo. Hii inatokana na mimi mwenyewe nilikuwa napenda sana kuwa naye jikoni na kumfundisha kupika.
Usafi room kwake anafanya mwenyewe, hayo ya 6x6 siwezi kumsemea, lol!
sasa hizo shule za boarding ambazo wanasoma hao ambao yeye kamuoa sijui ni za wapi?
labda asingizie wazazi wa huyo binti aliyemuoa, siyo boarding school
#Majanga
Ukitaka kuona ndoa ya blue haya sasa uoe mwanamke ambaye maisha yake
yote yalikuwa ni kwenye shule za boarding, chekechea boarding, primary
boarding, secondary boarding, a level boarding, chuo kikuu boarding.
Yaani ndani hawajui lolote, wachafu wa mazingira ya ndani, hawajui
kupika vyakula vyote na vya kwenye 6X6 kiujumla hawafai. yaani anaweza
akaacha vyombo vichafu mlangoni mpaka jioni viko palepale tu halafu
wavivu muda mwingi ni kusinzia tu.
hebu na wengine toeni egisipiriensi yenu.
lakini ni ukweli kwamba waliosoma boarding schools toka wako wwadogo primary school huwa hawajui house works kabisa. mambo ya kufagia sijui kuosha vyomb sijui kufua kwao yamewapitia kushoto na si wa kike tu hata wa kiume.
sasa atauaje ilihali shulen wanafuliwa kwa mashine, msosi wanapikiwa usafi wanafanyiwa, akifunga shule akija hme kuna madada 3 wa kazi, yy kazi yake ni kuangaia muvi, kuskiliza mziki, kuchat kwenye sosho media na kulala unategemea nini??
ww unaongelea boarding ambazo ulisoma miaka ya <2005 sasa boarding hizi za >2005 ni majanga matupu. na hata wale watt waliosoma primary boarding miaka hiyo nao pia wali lack skills hasa za house works. mie nilisoma boarding toka form 1-6 lkn enzi zile weruweru ilikuwa weruweru kweli manake tulikuwa tunaosha hadi migongo ya ng'ombe. chezeya kilimo wewe...................
Dah hivyo jamaa alijitahidi kuvumilia kwenda kula hoterini,halafu ukimuona binti anvyong'aa barabarani utamani uende naye,unajua dada yangu wanawake na saiz wanafikiri kuwa na jins ya kike pekee umemaliza sasa kwenye kulea mtoto itakuwaje mtoto ataanza bording school kuanzi baby class mpaka chuo kikuu!hahahaha, umenichekesha sana sana...............nimemkumbuka baba ghafla.
watoto wa siku hizi sisi wazazi ndio tumeaharibu kwa kujidai tunawapa raha ya maisha kumbe hovyo kabisa.
Jana kuna kijana mmoja alinipigia simu akanishtakia jambo nilicheka sana moyoni mwangu, ni kijana wa 27 na ana gf ambaye anataka kumchumbia sasa kwa muda wote aliokaa na huyo gf wa miezi 6 kila akienda kumtembelea gf wanakula hotelini home hakupikwi, lkn kila mdada anapokuja kumtembelea kidume anakuta kidume kapika msosi fresh na binti anakula na kufurahia menu tamu. sasa mie nikamuuliza kwann binti hapiki?? akadai binti anasema hapendi kupika nikamuulza wewe uliamuaje?? akasema alimlazimisha siku moja ampikie ugali basi binti alichofanya alienda kununua ugalai wa mama ntilie akautia kwenye poti kisha akanunua na mboga. kijana alipofika akatengewa vizuri kwenye sahan sasa akashangaa mbona msosi wenyewe kama vile ugali mbichi manake sasa umejaa maji akamwambia binti huu ugali ni mbichi ngoja tuupike tena uive vzr binti alianza kujiuma uma kumbe hata kusonga ugali hajui................. mkaka wa watu ikabidi aairishe kula akaondoka kwa hasira.