Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,954
- 7,113
Una uhakika?
Habari zenu ni kwa nini wanawake wazuri hawaombi msamaha wanapokosea!
Habari zenu ni kwa nini wanawake wazuri hawaombi msamaha wanapokosea!
TrueUnakuta hawajakosea
Kuomba msamaha ni tabia ya mtu kuna mwingine anajua kabisa alichofanya sio lakini haombi msamaha
Umeona eeehLabda kwa sababu ni wazuri?
ila sidhani kama kuna mtu ambae haombi msamaha pindi anapogundua kakosea labda awe anakuchukulia poa
AhsanteMwanamke mzuri ni yupi Mkuu?
Mwanamke ukijiliza liza hawezi kukuomba msamaha. Be like a real man. Hata ukikosea jifanye upo sahihi.
Bado sijaoa lakini nimeona migogoro mingi kwenye mahusiano mengi tuKwani wewe umeoa? Chaguo lako ? Nickson Swai
Nnao ndiyoUna uhakika?
Nimeona mkuuUmeona eeeh
Habari zenu ni kwa nini wanawake wazuri hawaombi msamaha wanapokosea!
Labda kwa sababu ni wazuri?
ila sidhani kama kuna mtu ambae haombi msamaha pindi anapogundua kakosea labda awe anakuchukulia poa
Hao wa zamani walikuwa wanajitunza hawajakutana na wanaume anapoolewa ndipo anajifunza kumpenda mumuwe huyo
Hawa wa sasa amekutana na wanaume wa kila aina anafika mwisho anaona bora liende atakaye jigonga anakubali ili mradi kapata ndoa.
Pia ukishamuonesha unampenda akifanya kosa anakupoteza aiseeKwa sababu uzuri unawapa kiburi. Kwamba ww ukizingua kuna mwingine anamuhitaji. Ndio maana wengi wao hawaolewi maana hawajielewi
Kama utampa mkeo/mpenzi wako frustration she will give u hell😡😡Habari zenu ni kwa nini wanawake wazuri hawaombi msamaha wanapokosea!
Sawa mkuuKama utampa mkeo/mpenzi wako frustration she will give u hell😡😡
HakikaNa dharau juu
Ndiyo kabisaHakika