Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,980
- 127,442
Hehe inaitwaje nije tuangalie wote
Naenda kuangalia tamthilia za Kikorea![emoji4][emoji4][emoji4]
Naenda kuangalia tamthilia za Kikorea![emoji4][emoji4][emoji4]
FAITH![emoji4][emoji4][emoji4]Hehe inaitwaje nije tuangalie wote
FAITH![emoji4][emoji4][emoji4]
Ni kweli sababu sasa hivi tabu sanaKwani ndio umejua hili leo mkuu?, tangu zamani mbona wanawake waliolewa na machaguo yasiyo yao.
Tena bora sasa hivi hata mwanamke anamjua mume wake ata kabla ya wazazi wake zamani alikuwa anashtukia barua ipo mezani inatoka amri tu. "Utaolewa mji wa mzee fulani" kwisha habari
Ila ajabu walidumu kuliko sasa
[emoji4][emoji4][emoji4]Hahahaa mwongo wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] wanatumia ubabeHabari zenu ni kwa nini wanawake wazuri hawaombi msamaha wanapokosea!
Hakuna namna, kwanza siku hizi kwa wadada kuolewa imeanza kuwa kama bahati vileHuu ni mtazamo wangu mimi asilimia 90% ya ndoa sasa hivi wanawake wanaolewa na watu ambao si chaguo lao migogoro mingi ndani ya familia watu wanaishi kwa mazoea.
N.B kosea vitu vyote lakini usikosee kuoa.
Hao wa zamani walikuwa wanajitunza hawajakutana na wanaume anapoolewa ndipo anajifunza kumpenda mumuwe huyoKwani ndio umejua hili leo mkuu?, tangu zamani mbona wanawake waliolewa na machaguo yasiyo yao.
Tena bora sasa hivi hata mwanamke anamjua mume wake ata kabla ya wazazi wake zamani alikuwa anashtukia barua ipo mezani inatoka amri tu. "Utaolewa mji wa mzee fulani" kwisha habari
Ila ajabu walidumu kuliko sasa
Unakuta hawajakoseaHabari zenu ni kwa nini wanawake wazuri hawaombi msamaha wanapokosea!
😁😁😁😁😁😁Si huyu hapa love connect
Kuna kichwa cha habarikwani kwenye hii sredi kuna nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajifarijiNajikuta najiimbia tu hapa, " sungura nipe karoti, maharage sijazoea"
Sawa mkuu.Pia maleezi yana mchango ktk kujenga msingi wa nidham ya mtu si unajua wahenga husema (MBWA MZEE HAKUBALI MAFUNZO