Ndoa kudumu inataka uzuzu

Kumwambia huwezi..!!?? Pole sana
 
Huo sio uzuzu mkuu bali umetambua ni jinsi uwe ili uweze kuendana mwenza wako ili mambo yaende.
Kuna mwingine naye atatakiwa ajifanye na poyoyo ili mambo yaende.
Kwa sababu wanawake wanatabia tofauti tofauti hivyo inahitaji ubunifu ili kuendana nao.
Hapo kwenye ubunifu ndio penyewe kabisa! Watu wako tofauti sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nalo neno mkuu
mwanamke fimbo yake hua mdomo hivo jitaidi kumpuuza tu mkuu...

mi wife nilikua namtembezea sana kichapo ajili ya mdomo bt mama akanambia mdomo ni udhaifu wa wanawake wote hivo nijitaid kumpuuza mwenza/nitoke akianza kurefusha mdomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri sana mkuu,,,
Unazidi kutusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo sio uzuzu mkuu bali umetambua ni jinsi uwe ili uweze kuendana mwenza wako ili mambo yaende.
Kuna mwingine naye atatakiwa ajifanye na poyoyo ili mambo yaende.
Kwa sababu wanawake wanatabia tofauti tofauti hivyo inahitaji ubunifu ili kuendana nao.
Ramadan Kareem
 
Ndoa ili idumu Ni mke kuwa chini ya mume.
Otherwise hakuna ndoa.
Tukubari wanawake kushuka.
 
Ukweli ni huu ili mwanaume uishi kwa amani katika ndoa yako. 1.mke wako asikuzoee, kuwa mtu asiyetabilika yani hauleweki mienendo mara umekuwa mbabe tena apoapo kuwa mpole. 2.mwanamke asijue siri zako au unchofanya mda huo.wanaume wenzangu hawa wenzetu wanapenda kufukunyua siri za mtu afu hizohizo siri wanatumia kama silaha kumchapia muhusika kwa sababu kwenye hizo siri wanapata udhaifu wa muhusika. 3.hakikisha hauongelei masuala kuhusu ukoo wenu,marafiki zako,boss wako,Yani kiufupi asijue mambo unayofanya na watu wanaonguzuka na hata kama utaongea usiongee yanofanyika sasa ongea mambo yaliotukia kipindi cha nyuma tena yasiyo na madhara v 4.jiwekee akiba kwa ajili yako kama mwanaume trust me itakuja kukusave siku yakikuharibikia. 5.ji upgrade kila siku sio kisa umeoa unaacha utana shati kama mnavyowaona wenzetu hata kama ameanza kuzeeka utakuda bado ana jithamini hii kitu ndo inawapa kiburi. 6.Hakikisha anajua upo tayali mda wote kama ikitokea mtengano yani ajue bila yeye bado utapata furaha. Wanaume wenzangu mjitahidi msijiweke uchi kuanika siri zenu ndo kinacho waua kama mlikuwa hamjui ndo mana mwanamke anapo anza mahusiano na mwanaume kitu cha kwanza kukitafuta ni secret document baada ya hapo kuendeshwa ni lazima.hamujiulizi kwa nini Mungu aliwamwambia mwanamke utamwonea wivu mwanaume .jibu ni wanawake wanapenda kushindana na kumtawala mwanaume haya 50 to 50 hayajaanza leo
 
Kuishi na mtu asietabirika ni kazi kwekweli nilishawahi kuexperience
 
Kwa Bongo ili ndoa idumu lazima uwe na moyo wa paka.
Yaani namaanisha uwe na uwezo wa kumubetia Arsenary na Yanga kwa hela ya kodi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…