Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.
Ur very correctJambo la muhimu ni kuwa mtu usiyetabirika tu mfano akifanya jambo zuri badala ya kumpongeza unajifanya kama hujaona vile. Au akifanya jambo la hovyo badala ya kumuadhibu unampotezea pia.
Kupitia hiyo ndoa itadumu vizuri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka ndoa idumu kwa mda lazima mwana umme uwe tayari kuipoteza mda wowote kama inabidi.....huo utayari wako utamfanye mwana mke awe makini na matendo yake, husibembeleze ndoa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo ndoa kama vita na unafiki wa kutoshaKibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.
HaleluyaNdoa ujengwa kwa nyuzi 3 ambazo ni...
1.Mungu
2.Mume
3.Mke
Kwa bahati mbaya ndoa nyingi ufugwa na kamba mbili tu yaani Mume na Mke hii ni hatari sana.
"Hata ikiwa mtu aweza kumshinda yule aliye peke yake, wawili watampiga, wala kamba ya nyuzi tatu haikatiki upesi" Muhubiri 4:12
Kwa muktadha huo kutokana na fungu hilo utaona hili uhusiano wa Mume na Mke uweze kuimarika zaidi utaitaji uwepo wa Mungu na si majirani na hata wazazi.
Ndoa zetu tuzikabidhi kwa Mungu hakika yeye ni mwema atatufanyia wepesi daima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea ndoa zote au ipi?Duuuh ndoa ngumu mnoo mweeh, lol polen San mlokuwa ndan ya himaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Uboya a.k.a uzombiUzuzu hayo mambo ndio sielewi kabisa.
Ila wakuu ndoa ngumu sanaa,bado sijaingia ila huyu manzi angu,anakujaga home nilipopanga ila akikaa wiki tu, tushagombana sanaa mavita kila sikuuuu, nampenda na yeye ananipenda ila daaah changamoto sanaaaKibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.
HahahaaMke Anafanya kosa barabarani anapigwa faini analeta malalamiko kwako mpaka unamwomba msamaha utadhani we ndo polisi ili mradi uwe zuzu asiendeleze mdomo mpate usingizi.
Huo ndo uzuzuMke Anafanya kosa barabarani anapigwa faini analeta malalamiko kwako mpaka unamwomba msamaha utadhani we ndo polisi ili mradi uwe zuzu asiendeleze mdomo mpate usingizi.
Toka berenge mkuu. Hapo unaleta redio ghettoIla wakuu ndoa ngumu sanaa,bado sijaingia ila huyu manzi angu,anakujaga home nilipopanga ila akikaa wiki tu, tushagombana sanaa mavita kila sikuuuu, nampenda na yeye ananipenda ila daaah changamoto sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabsaaa,,wengi kwenye majumba yao humo yamekua mazezeta kwa wake zao.Ndoa kudumu lazima mwanaume uwe dictator yaani mkeo ajue kabisa akileta za kuleta chamoto anakiona
Habar ndo hyo kamandaWabongo ndoa kama vita na unafiki wa kutosha
Tena wagalatia akishaolewa ndo utakoma